PreGE2025 Moshi: Mwanaume adaiwa kutaka kutekwa, vijana wasimama kidete kuzuia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Wakuu,

Inasemekana hapo ni Moshi majira ya saa 19:35 maeneo ya Mbuyuni sokoni ambapo watekaji walikuja na Noah nyeusi wakamkamata kijana mmoja wakataka kuondoka naye ila wananchi waliwagomea!

Wakatoa pingu huku wamevaa kiraia hapo ndio raia raia wakazua balaa kabisa.

Maswali ni yale yale; je, hali hii itaendelea mpaka lini? Je, polisi wanahusika ama kuna watu wanafanya matukio na kuwasingizia?

Lakini tunakumbuka tukio la TRA? Polisi walituambia wanakibari cha kukamata, je kwanini hawaendi na escort ya polisi? Yakitokea kama ya Tegeta mtamlaumu nani wakati watu wanavamia kama vibaka?

Tukio la Tarimo watu wanajulikana, lakini kesi inaendeshwa kimya kimya na kufichwa kama bangi. Tunaachaje kuwahusisha na matukio haya?
 
Wakuu,

View attachment 3302261

Hawo waliotoa pingu mlitakiwa muwanyang'anye hiyo pingu na kama wanabastora mngewwaporwa Kisha mnasepa zenu yakafukuzwe kazi huko namana hapo walikuwa washapoa
 
Duh, kwanini lakini? Hawa watekaji wana mtandao itakuwa mkubwa, haiwezekani mtu kavaa kiraia na gari binafsi wanateka watu, hii tabia ikikomaa itatupeleka pabaya sana.
 
Wakuu,

View attachment 3302261

Inasemekana hapo ni Moshi majira ya saa 19:35 maeneo ya Mbuyuni sokoni ambapo watekaji walikuja na Noah nyeusi wakamkamata kijana mmoja wakataka kuondoka naye ila wananchi waliwagomea!

Wakatoa pingu huku wamevaa kiraia hapo ndio raia raia wakazua balaa kabisa.

Maswali ni yale yale; je, hali hii itaendelea mpaka lini? Je, polisi wanahusika ama kuna watu wanafanya matukio na kuwasingizia?

Lakini tunakumbuka tukio la TRA? Polisi walituambia wanakibari cha kukamata, je kwanini hawaendi na escort ya polisi? Yakitokea kama ya Tegeta mtamlaumu nani wakati watu wanavamia kama vibaka?

Tukio la Tarimo watu wanajulikana, lakini kesi inaendeshwa kimya kimya na kufichwa kama bangi. Tunaachaje kuwahusisha na matukio haya?
Hili gari lilitakiwa lipigwe kiberiti, na hao jamaa waachwe na vilema vya maisha.
 
Kwanini watekaji wasije na gari la polisi ? Asee hii nchi inahuzunisha sana hao watekaji wangeuliwa papo hapo ingependeza ikawapa funzo .
 
Hao machalii wamejitahidi sana, japo nilitamani waende mbali zaidi kwa kumshushia kipondo mtekaji na kuuharbu kabisa huo mkebe wake
 
Nchi imekuwa ya kihuni+usani usanii tu

Ova
 
Back
Top Bottom