Bila shaka alikosa mtu wa kumfariji kwa mazito yaliyompatajamen tuonyeshe upendo wa kweli kwenye familia zetu,,,tusibaguane tubebane na kusameheane kweli,,,,aliona hana msaada mwingine ila angepata upendo sidhani kama yangetokea,,,.....rajun
Very sad. R.I.PMwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi ya Kakoleni wilayani hapa mkoani Kilimanjaro, Khalid Shaban (14),amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali akiwa chumbani kwake
Inadaiwa Shaban amejiua kutokana na mshtuko wa kifo cha mama yake mzazi aliyefariki siku chache zilizopita
Katika tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi lilitokea Novemba 28 mwaka huu, saa 7.00 mchana katika eneo la kata ya Mabogini, Moshi.
Akizungumza na gazeti hii leo (Jumanne) Diwani wa Kata hiyo, Emmanuel Mzava, amesema baada ya mama mzazi wa Mwanafunzi kuanza kuugua mtoto huyo alikata tamaa na kusema kuwa mama yake hataweza kupona tena
Mzava amesema baada ya muda mfupi mama wa kijana huyo alifariki dunia, alipofariki afya ya Shaban ilianza kudhoofika kutokana na kifo cha mama yake
"... Alipoteza matumaini na kwamba hawezi kuendelea tena kuishi bila ya mama yake,"amesema Mzava
Chanzo: Mwananchi
Kweli kiongozi,angetokea mwenye upendo kwenye hiyo familia akamfariji kweli kweli asingejinyonga.R.I.P kijanajamen tuonyeshe upendo wa kweli kwenye familia zetu,,,tusibaguane tubebane na kusameheane kweli,,,,aliona hana msaada mwingine ila angepata upendo sidhani kama yangetokea,,,.....rajun
wanaume wana dhambi sana waache tu .MoTO WA MILELE UNAWAHUSUMtutukane humu kwenye mitandao, mtupe majina ya ajabu lakini mama ni mama. Hao mnaowaona madada poa wengi wana watoto wanafanya hivyo siyo kupenda ila wameterekezwa na kazi wanazofanya za official hazilipi inabidi waongezee ili walishe watotowao na bibi wa watoto. Siku hizi wanaume hakuna anayemjali mama yake mnawajali mababy na ndugu wa wake zenu ni watoto wa kike tu na do wanatunza familia hivyo mtoto alijua kuwa mwisho wa maisha yake ndo huo.
Hawatakuelewa ila wanajua ujumbe umefika.wanaume wana dhambi sana waache tu .MoTO WA MILELE UNAWAHUSU