Chali wa Moshi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 258
- 61
- Thread starter
-
- #21
Nyumbani kwenu umeme mliweka lini? Acha ujinga wewe..mimi nimezaliwa moshi na nipo siku zote....Waziri wa nishati gamba, mgao wameleta wao...zalisha umeme wa mavi ujingarishie nao mitaa.
Haziwaki tangia lini? hembu nipe jibu isije ikawa ni ushamba wako umeme umekatika unataka taa za barabarani ziwake,
Yaani hapa ninapoandikia ni barabarani kabisa. Taa zinawaka acha uzushi. Pita upinde street man uone. Uko njoro nini? Acha uzushi wewe
almost one year
Ngoiva, acha kudanganya watu wa jamvini. ukitoka kipleft cha mwenge ukiwa unashuka na barabara ya mahakamani kupita manispaa nigiza tupu.
haya barabara yakutoka manispaa inaingia hapa parkview hotel mpaka stendi giza balaa.
sasa wewe ndonikuulize uko moshi gani?
Kastarehe; labda nikujuze tuu mimi sina chama chochote na wala sitafanya ivo hata sikumoja. mimi nimpenda maendeleo na vilevile mabadiliko, kwataarifa yako tuu uchaguzi uliopita nilimpigia ndesamburo(CHADEMA) kura, hii ni kwasababu napenda mabadiliko na maendeleo ndani ya mji wetu. so kuniita sijui kilaza your wrong.
mimi napenda sera za chadema lakini we should like critics pia.
Chali wa Moshi, kwanza shukrani kwa post yako. Ila nakushauri siku nyingine fanya utafiti wa kina kabla ya!! Hapa JF hapakurupukiwi mkuu!!
Pia mkuu naona unajichanganya sana, mf; umesema wakati wa kampeini ulipigana sana kuhakikisha CDM wanachukua Jimbo(asante sana kama ni kweli), wakati huohuo unasema huna chama nahutokuwa na chama!! Kwa kauri zako hizi nina uhakika 98% hukupiga kura na hutopiga kura!!! "Amka mkuu!!"
Mkuu nakusihi kama Mtanzania mwenzangu tambua umuhimu wako ktk kutafuta ukombozi huu, wewe ndie unayesababisha taa hizi zisiwake na kamwe sio CDM(kama kweli haziwaki). "Amka mkuu" tukomboe nchi yetu!!
Kumbuka halimashauri zinatengewa fungu toka serikali kuu (kama sijakosea) ambayo imeshikiriwa na Magamba!!
"AMKA MKUU".
Mji kuwa msafi na kupangika siyo kigezo cha kufanywa kuwa jiji!hauijui moshi wewe, tuachie mji wetu msafi na uliopangika kuliko miji yote TZ, Muda si mrefu moshi imeshakubaliwa na itakuwa jiji
wewe piga porojo tuuu wala hutanufaika na chochote
Nahisi utakua umetumwa ww. wadanganye ambao hawaishi moshi.
Tetesi yako haitoshelezi hata punje!
Nahisi muda huu upo Arumeru mashariki unaisaidia chama cha majambazi namna ya kuiba kura!
Warning!
Toka hapa Arumeru kwa usalama yako!
Mambo ya taa kutowaka ni kwa sababu ya mgogoro uliopo kati ya Tanroad na manispaa ktk miji inayotaka kuendelea.
Kwa mfano hapa Arusha karibia taa haziwaki kila corner iliyochibiwaga bomba kwa mabilioni ya shilingi na tatizo ni hilo hilo la Tanroad na Manispaa.
Hayo yote yanafanyiwa mchakato tayari!
we kilaza acha kutafuta cheap popularity, mji kukosa taa ndo kulaaniwa? Nyie kwenu hamna umeme, mbona hatujasema mmelaaniwe. Umetu udhi sana we f.a.l.a, k. ya aliyeku2ma, kapumuliwe kisogoni huko!
STIDE, mimi sina chama bali nasikiliza sera zinazonivutia ndona piga kura huko. sera za chadema zilinivuatia ndio maana nikaipigia kura.
hoja yakung'ang'ania moshi kunawaka taa nadhani atuelewani, nilisema barabara ya kipleft cha mwenge teremka mpaka mahakamani naingia hii nyingine ya manispaa mpaka stendi ni giza kwa muda mrefu sasa.
nina shangaa sana hawo ambao amsomi post yangu vizuri nyie mnaropoka tuu, nimetumia moshi cause hizi barabara ndizo zinazokaribisha mtu moshi izo za kwenda sijui njoro sijui wapi those are gate away roads.