Moshi: Mjane mwenye watoto wanne atupwa jela maisha kwa kosa la kusafirisha mirungi

Nakumbuka nilishawahi kupigwa laki kwa kesi ya kukutwa na picha tu za hio mirungi, nilikuwa na wana wanachanja wakapiga picha tukiwa geto flani.

The next day nikakumbana na wazee wa ngwasuma wakanityt wakaanza kupekua simu yangu na kukuta zile picha nikiwemo. Walikomaa niseme ile mirax nani ame supply nikawakataa maana ilikuwa msala af kipindi hiko napiga 3rd year wakaniambia tunakupeleka central na ushahidi upo so kwa huu msala huchomoki. Wakanirushia kwenye Cruiser lao.

Tukazozana we mwisho wakataka 200, walikuwa kama mtu 9 hivi wako full gwamba wana mikwasa kama yote nikaona nikifurukuta naweza nikapamba magazeti ya kesho. Nkawamegea 100 wakanitema ila nilipiga nao doria toka saa 5 mpaka saa 11 hivi jioni. Hio kitu siwezi sahau ilinitia stress sana.
pole sana
 
Nimeshangaa ...yaani mtu anakutwa na kesi ya uhujumu uchumi anaenda kufagia hospital ila wa mirungi kifungo maisha
Mkuu mahakama pamoja na hukumu zake hapa kwenye huu ulimwengu wa mwisho zipo kwa lengo la kumnyonga mnyonge tu, ukiwa una pesa hata ufanye kosa gani sheria zitaishiwa kuchezewa chezewa mwisho wa siku unaonekana hauna hatia.
 
Mkuu mahakama pamoja na hukumu zake hapa kwenye huu ulimwengu wa mwisho zipo kwa lengo la kumnyonga mnyonge tu, ukiwa una pesa hata ufanye kosa gani sheria zitaishiwa kuchezewa chezewa mwisho wa siku unaonekana hauna hatia.
Sheria ipo wazi na adhabu zipo wazi, siku zikiwakuta ndio mnaanza kujamba jamba, endeleeni tu, sis huku tutawapiga maisha, jua mtalisahau,

huu mtaa wa bondeni mnauza sana mirungi, kuanzia kindoroko, mpaka mbuyuni, pasua, na madereva wa haisi za kiboriloni mnazi, kcmc, geti fonga wanakula mirungi, ngoja tuwapeleke mkalime katani huko karanga maana jpm kaagiza tuwakusanye wahalifu wakafanye kazi za sulubu.
 
Aisee! pole yao,
Sasa hao watoto sijui nani atawaangalia! Mungu ndio mtoa riziki,in sha Allah awasimamie hao watoto ambao kiuhalisia kwa sasa ni kama yatima wasio na baba wala mama.
inshalaa maana yake nini?
Mungu hausiki ha[o, yeye akalime zake huko gerezani, hatuhitaji waswahili wa kutuaribia watto wetu, pumbaf sana hawa waswahili wa mbuyuni, jaji kakosea kutompa nadhabu ya viboko
 
Back
Top Bottom