Moshi: Mjane mwenye watoto wanne atupwa jela maisha kwa kosa la kusafirisha mirungi

Nakumbuka nilishawahi kupigwa laki kwa kesi ya kukutwa na picha tu za hio mirungi, nilikuwa na wana wanachanja wakapiga picha tukiwa geto flani.
The next day nikakumbana na wazee wa ngwasuma wakanityt wakaanza kupekua simu yangu na kukuta zile picha nikiwemo. Walikomaa niseme ile mirax nani ame supply nikawakataa maana ilikuwa msala af kipindi hiko napiga 3rd year wakaniambia tunakupeleka central na ushahidi upo so kwa huu msala huchomoki. Wakanirushia kwenye Cruiser lao.
Tukazozana we mwisho wakataka 200, walikuwa kama mtu 9 hivi wako full gwamba wana mikwasa kama yote nikaona nikifurukuta naweza nikapamba magazeti ya kesho. Nkawamegea 100 wakanitema ila nilipiga nao doria toka saa 5 mpaka saa 11 hivi jioni. Hio kitu siwezi sahau ilinitia stress sana.
Pole mkuu .
Why hukusema umeiokota mtandaoni huko?
 
Kwa maoni yangu ganja iruhusiwe tu. Maana kila mtaa hapa nchini inauzwa. Na vijana wanaivuta hadharani kabisa na inaonekana kama jambo la kawaida kabisa.

Legalize it....
 
Lakini wanaopiga risasi na kuwatishia watu hadharani wapo wanapeta
Jamani tunazungumza habari za miraa sio marisaa. Huyu ma hakujua ni kosa kubwa kuuza miraa?? Basi, atajifunzia huko huko jela na itakuwa funzo kwa wanawe
 
Nakumbuka nilishawahi kupigwa laki kwa kesi ya kukutwa na picha tu za hio mirungi, nilikuwa na wana wanachanja wakapiga picha tukiwa geto flani.

The next day nikakumbana na wazee wa ngwasuma wakanityt wakaanza kupekua simu yangu na kukuta zile picha nikiwemo. Walikomaa niseme ile mirax nani ame supply nikawakataa maana ilikuwa msala af kipindi hiko napiga 3rd year wakaniambia tunakupeleka central na ushahidi upo so kwa huu msala huchomoki. Wakanirushia kwenye Cruiser lao.

Tukazozana we mwisho wakataka 200, walikuwa kama mtu 9 hivi wako full gwamba wana mikwasa kama yote nikaona nikifurukuta naweza nikapamba magazeti ya kesho. Nkawamegea 100 wakanitema ila nilipiga nao doria toka saa 5 mpaka saa 11 hivi jioni. Hio kitu siwezi sahau ilinitia stress sana.
Hahaha bablai. Dah kuna siku kidogo nidondoshe rumbesa ya veve kituo cha polisi. Hapo tumepeleka anja na ubaya tulimdaka mbele ya kituo tukawa hatuna namna maana mapai walikua wanatudere.

Mda huo tumetoka kunyaka shamba iko kwenye soksi nikajidai kumpiga mateke yule jamaa kumbe nshasahau nna RB kwenye soksi. Nilikuja sanuka kitu kimebaki kidogo tu kianguke asee pressure ilipanda nikasema leo nimejileta mwenyewe mamaeeee dah nikajidai napiga simu nilivyotoka nje nilikimbia kama mwehu.
 
Hukumu haiendani na makosa, siasa tu!
Mirungi tu jela maisha..!!??
Dar watu walikutwa na cocain wakalipa fine 10M and walk free!!
Mkuu kwa sheria mpya; ,mirungi, bangi na dawa zote za kulevya hukumu ni maisha, haina mjadala.

Vv
 
Back
Top Bottom