MBUMBUMBU TULIENI[emoji116]View attachment 2313686
hilo ni jambo la kawaida tu[emoji116]View attachment 2313686
Senzo anahusika nini na Morrison hio structure iko kwenu huko makolonisi ndo maana Senzo kaamua kumkimbia,yanini kuumizwa kichwa na mtu mwenye matatizo ya akili ya kudumu.
Mwenye macho haambiwi tazama mujubaaaa!Senzo anahusika nini na Morrison hio structure iko kwenu huko makoloni
Sasa hapo amewavuruga nini?“Tulimpatia ratiba mapema kabla ya kujiunga alitakiwa kuifanya kwa ukamilifu lakini nimemuangalia naona Hakuifuata sawasawa ila atakuwa sawa,” Helmy Gueldich, Kocha wa viungo Yanga. [Mwanaspoti]
[emoji116]
View attachment 2313686