Moroko kujenga nyumba 5,000 Nchini Rwanda

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
A Moroccan real estate company has announced it will construct 5000 affordable housing units in Kigali city. Palmerie Development Group company sealed the deal worth $ 68 million.

The houses will be built in Ndera sector, Gasabo district. Kigali wants to bridge housing gaps by targeting to build 10,000 new homes every year until 2023.

This evening Morocco and Rwanda signed 21 hot deals of projects on a historic visit by Morocco’s King Mohammed VI currently in the country for a 3-day state visit since yesterday.

A total of 21 agreements is roughly grouped into eight categories including; business, agriculture, politics, infrastructure, education, health, social welfare and security.

The King himself has invested $41 million in acquisition of 76.19% shares in Cogebanque-a commercial bank that was owned by Rwandan shareholders.

The investment was made through Attijariwafa Bank, the leading bank in Morocco which is also part of King Mohammed VI‘s holding company, Société Nationale d’Investissement (SNI).

“This investment is a sign of Moroccan interest in Rwanda’s financial market,” said Claver Gatete, Minister of Finance and Economic Planning.

Established after a merger betweenBanque Commerciale du Maroc and Wafabank, the Casablanca-based Bank enjoys wide presence around the world, with branches in London (UK), Paris (France), Brussels (Belgium), Madrid and Barcelona (Spain); Milan (Italy), Shanghai (China), The Netherlands, Tunisia, Senegal, Ghana, Mauritania and Mali.

Other banks in Rwanda will benefit from another agreement wherebyBanque Centrale Populaire Group of Morocco will train Rwanda’s micro-finance staff and bring financial literacy among banks’ clients.

President Paul Kagame and King Mohammed VI also launched the African mutual growth investment Fund worth $300 million with $50 million dedicated to Rwanda and the rest, to the East Africa community member countries.

Another business deal that was signed will see Morocco facilitate Rwanda to develop Special Economic Zones.

Rwanda Development Board Officials said Morocco has very strong industrial sector and will help Rwanda to implement its vision to build a special economic zone in all districts of the country.

Currently, Rwanda has only one renowned special economic zone in City of Kigali.

Rwanda and Morocco have also sealed a deal to invest in pharmaceutical industry. Moroccan Cooper Pharma, a renowned producer of antibiotics among other drugs, will set up its facility in the Special Economic Zone.

Already exporting to 21 countries across the world, Cooper Pharma wants to make Rwanda a strategic store for East Africa.

An interesting agreement which is good news for Rwandan farmers could be an establishment of crop insurance.

Morocco will partner with Rwanda’s insurance companies to develop and structure financial products dedicated to agriculture for small holder farmers.

The deal is timely because Rwandan insurance companies are always reluctant to venture into agriculture sector which they consider unpredictable.

For air transport business, an air service agreement that was signed will provide right to fly across the territory of another country without landing.

Airplanes of one country can make stopover in the territory of the other country for non-traffic purposes.
rwanda morocco to bulid 5000 affordable houses
 
Ukitaka kula lazima uliwe

Anatanua wigo wa wafanyabiashara na matajiri kuwekeza kwenye mataifa mengine ndo utajiri huo
 
Uwekezaji wa misikiti Tanzania.
Gaddafi alijenga msikiti Dodoma.
Sasa ni Mfalme wa Morocco anajenga DSM.
Hivi Watanzania mahitaji yetu makubwa ni misikiti?
FOROJO GANZE HEBU TURUDISHIE UHURU WETU. UMETUFUNGIA WATANZANIA WOTE NA VIZAZI VYETU KWENYE Mapango ya Bagamoyo. Hatari sana

Huyu forojo Ganze ni shida sana aisee, anatutesa mno
 
Forojo ganze:- Ni shida../ akili zote ziko shimoni,mzimuni.....
•Na mwenge huu ni lazima uzungushwe kwa vizazi vipya /...kila mwaka/.ova.
ili Dawa iendelee kufanya kazi.
 
Forojo ganze:- Ni shida../ akili zote ziko shimoni,mzimuni.....
•Na mwenge huu ni lazima uzungushwe kwa vizazi vipya /...kila mwaka/.ova.
ili Dawa iendelee kufanya kazi.
Huyu forojo ganze ni nani na anahusiana vipi na huo mwenge hayo mapango na akili ya wa Tanzania hebu nitoe tongotongo Mie wa kizazi kipya
 
Jamani hii inaonyesha Wanyarwanda wanafanyaga home work kweli kweli kama walivyo Wakenya, jamaa hawa popote waendapo hawakurupuki i.e wako highly organised at the end of the day they end up na mikataba yenye mshiko kwa Taifa lao na wananchi.

Sasa sijui tatizo letu ni nini?Nafikiri na exposure ina matter sana, sisi tuna kauzubaifu ka aina fulani hivi!

Kitu kingine Serikali sio lazima kuwasikiliza sana washauri wateule, waulize pia wananchi ambao wengi wao wana exposure kubwa kuliko hao washauri na Viongozi wengine, Serikali isijifungie kwenye cacoon na kufikiri raia wa kawaida awawezi kumshauri Rais hata kwa maadishi, Rais Mwinyi alikuwa na kawaida ya kukutana na raia wa kawaida sikumbiki mara ngapi kwa mwezi, I don't think it was chaotic au akijisikia anakwazika hata Baba wa Taifa ingawa alikuwa anacheza nao mchezo wa bao lakini alikuwa anaelezwa kilicho kuwa kinaedela kwenye grassroot na ushauri mwingine wenye mshiko, kama kiongozi hivi si vitu vya kupuuzia hata kidogo.

Watanzania wengi wako talented ndio maana wanakubalika sana nchi za nje kuliko hapa Tanzania, kwa nini Serikali aianzishi dawati la kusikiliza ushauri kutoka kwa raia wa kawaida lakini wenye ujuzi, exposure na taaluma ambazo zinaweza kusaidia sana kuendeleza Taifa letu na wala sio kwamba wanatafuta ajila wala nini sijui!!

Msichukulie Mawaziri, wasaidizi wao na battery ya washauri wachache wa Rais kama ndio alfa na omega, mnasahau Raia walio mpigia kura Dk.Magufuli mnawachukulia si lolote si chochote awawezi kumwambia kitu - hapo ndio mnakosea sana.

Msifikiri labda nia yangu ni kuwasema vibaya current Admin - far from it - hapa tuna sahihishana tukiwa na lengo zuri tu, hapa tunaona Wanyarwanda wameweka list ndefu ya makubaliano kati yao na Mfalme wa Morocco, kila kitu kimeanikwa adhalani - ebu na sisi tuonyeshwe makubaliano kati yetu na Morocco tulinganishe na Wanyarwanda tuone kama sisi kweli tulifanya home work ya kutosha kabla ya kukutana na Mfalme wa Morocco - mke wangu kwa mfano aliwahi kutembelea Morocco kikazi, anasema Taifa hilo limendelea sana katika viwanda vya bidhaa za ngozi bidhaa hizo hata ukiziangalia ni first class kabisa, wanawauzia watalii na Ulaya.

Aliniambia vile vile kwamba Morocco wako mbali sana kwenye nyanja za Real Estate Development pwani pwani na ndani ya nchi, wako mbali sana kwenye ujezi wa viwanda vya sukari na wanavyo vingi nchini mwao - mgemwambia Mfalme mnafikiri angekataa kijenga kiwanda walao kimoja cha sukari nchini kuliko makanjanja wanao tuzuga eti watajenga viwanda vitatu kwa mpigo!

Akamalizia kwa kusema Morocco wako mbali sana katika nyanja za Utalii na viwanda vya kuzalisha bidhaa mbali mbali.

Binafsi naona ziara ya Mfalme wa Morocco ilikuwa ni golden chance kwa Taifa letu kuitumia kupiga hatua nyingine mbele kimaendeleo - swali ni je, fulsa hiyo tuliitumia vizuri?
 
Huyu jamaa wamempa ujanja mataifa ya ugaibuni ili aitawale africa na hayo ndo yanadhihirisha
Na sponsa wa hayo yote yatakuwa mataifa ya ughaibuni maana yameona siku za usoni itakuwa ngum kuitawala africa hasa mataifa yanayoibukia kama rwanda na tanzania
Simpendi huyu jamaa ni kaburu tu
Angalia msafara wake ndo utajua kuwa ni kaburu
 
Huyu jamaa wamempa ujanja mataifa ya ugaibuni ili aitawale africa na hayo ndo yanadhihirisha
Na sponsa wa hayo yote yatakuwa mataifa ya ughaibuni maana yameona siku za usoni itakuwa ngum kuitawala africa hasa mataifa yanayoibukia kama rwanda na tanzania
Simpendi huyu jamaa ni kaburu tu
Angalia msafara wake ndo utajua kuwa ni kaburu
Ulitaka mfalme alingane na kapuku....


Lzm utofauti uonekane ndio maana akaitwa mfalme
 
Huyu ni kaburu tu yawezekana hata hum kuna makaburu
Asiwatawale wenzie kimabavu
Hujui ni nn kilichomtoa kwenye umoja wa africa usikurupike mkuu
 
Huyu jamaa wamempa ujanja mataifa ya ugaibuni ili aitawale africa na hayo ndo yanadhihirisha
Na sponsa wa hayo yote yatakuwa mataifa ya ughaibuni maana yameona siku za usoni itakuwa ngum kuitawala africa hasa mataifa yanayoibukia kama rwanda na tanzania
Simpendi huyu jamaa ni kaburu tu
Angalia msafara wake ndo utajua kuwa ni kaburu
***
***
POSSIBLY KATIKA WATU 1000.
WATU 500,WAKABAKI HAPA HAPA./
 
Lakini ana nia gani?hv hv tu aje na awajengee watu wasio wa nchi yake ana nini anachofikilia?kutakua na jambo hapa
Nipe nikupe ....ndiyo swala lililofanyika hapo kuna vitu nayeye anapata kuta kwetu....Lazima kiongozi wetu kuna kitu atakuwa ame mu offer..
 
Huyu jamaa wamempa ujanja mataifa ya ugaibuni ili aitawale africa na hayo ndo yanadhihirisha
Na sponsa wa hayo yote yatakuwa mataifa ya ughaibuni maana yameona siku za usoni itakuwa ngum kuitawala africa hasa mataifa yanayoibukia kama rwanda na tanzania
Simpendi huyu jamaa ni kaburu tu
Angalia msafara wake ndo utajua kuwa ni kaburu

Mkuu Nkolandoto nakubaliana nawe, Dunia nzima inajua kwamba jamaa huyo ni adernt supporter wa nchi za magharibi specifically Uncle SAM ndiyo maana Mobutu alikimbilia huko, anaweza kuwa anatumika kweli kujaribu kuwa contain Wachina Barani Africa kwa maelekezo ya nchi za magharibi.

Binafsi uwa na kawaida ya kuamini msemo wa wachina usemeo "Usijali sana rangi ya paka - awe mweusi au mweupe cha muhimu ni uwezo wake wa kuua panya" which means na sisi hatuna haja ya kujali sana Morocco inafuata itikadi gani, mradi wasichochee masuala ya orange revolution au kutwambia tusishirikiane na Wachina na Warusi.
 
Back
Top Bottom