Afwadhar nawe leo umeanzisha ka thread!!Umetumia sms nn kuwa haijawai post kitu yoyote??g afrernoon
Hivi kwa nini morogoro inaitwa mji kasoro bahari...?
Yaani mjini mzuri sana pamoja hayo
umekosa Bahari.
Ingekuwa kama Tanga,Dsm,Lindi,Mtwara
na Znz zilikuwa na bahari kwasasa ungekuwa
juu mno.
Hahahaah! Mkuu wewe ni kabila gani? Inaonekana waluguru ni watani zako.Naona haujafika Morogoro wewe, ule mji? Mluguru atakaa kwenye nyumba ya gorofa ya udongo inayokaribia kuanguka atakuambia nyumba yake inashindana na Ikulu na atakuwa radhi kupigana nawe huku mkibishana kisa umemwambia ukweli na yeye hataki anataka tu uamini ayasemayo yeye. Chezea hisia za watu wafupi wewe, shauri yako.
kweli kabisa upo sahihiKwa mawazo yangu nafikiri kuwa ule ni mji mzuri sana ila tu umekosa bahari.
Ukizingatia upo karibu najiji la D'salaam.
Huo ni mtizamo wangu.
Hahahaah! Mkuu wewe ni kabila gani? Inaonekana waluguru ni watani zako.
Mtanisamhe ila kabila langu linatia haibu kidogo. (Mi ni mzaramu wa Kisarawe, kule ni sawa na Morogoro).
Uzaramo ni worse than uluguru, usijifariji aise