PreGE2025 Morogoro: Walimu wenye Kero na changamoto za mishahara wasikilizwa

PreGE2025 Morogoro: Walimu wenye Kero na changamoto za mishahara wasikilizwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu

Walimu wenye Kero mbalimbali wamejitokeza kwenye Kliniki ya Walimu na Samia Mkoani Morogoro kusikilizwa na Kikosi kazi cha Kliniki hiyo ili kutatua Kero zao

Soma: Kliniki Ya Walimu Na Samia kushughulikia kero za walimu Arusha

Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini

Hadi sasa kliniki hiyo imetembea mikoa 25

1742370376770.png

1742370389775.png

1742370400638.png

1742370415528.png
 
hivi na wale NETO watafikiwa lini na Mama
 
Walimu wanaoendelea kufungamana na hao wahuni wa CWT wanatakiwa kujipima ili kuona kama wanajitambua, na pia wana uchungu na fedha zao!

Hapo ukisaini tu hizo fomu zao, mwalimu unaendelea kukatwa na hao wezi 2% kwenye mshahara wako kila mwezi, na wakati kuna wale wezi wengine wastaarabu wa chakuhawata huwa wanakata 5000 tu kwa kila mwalimu kila mwezi!

Hivi ni kwa nini walimu wote msihamie Chakuhawata! Hao kidogo wana unafuu maana wanakata elfu 5 tu ! 2% ya basic salary ni pesa nyingi sana kwa mwalimu wa Tanzania.
 
Kuwe na uchaguzi Mkuu kila mwaka maana huu ni wakati pekee wapiga kura husikilizwa.
 
Walimu wanaoendelea kufungamana na hao wahuni wa CWT wanatakiwa kujipima ili kuona kama wanajitambua, na pia wana uchungu na fedha zao!

Hapo ukisaini tu hizo fomu zao, mwalimu unaendelea kukatwa na hao wezi 2% kwenye mshahara wako kila mwezi, na wakati kuna wale wezi wengine wastaarabu wa chakuhawata huwa wanakata 5000 tu kwa kila mwalimu kila mwezi!
Wajinga ssana hao walimu. Kila kitu kimebainishwa kwenye ssheria unaenda kujizalilisha barabarani??
Hayo niaandalizi ya may mosi
 
Nchi ya kijinga sn hii, hapo Morogoro kuna RC/RAS/REO/DC/DAS/DED/DEO/TSD wote hao wameshindwa kutatua kero za walimu? shenzi kabisa
 
Back
Top Bottom