Menapitatu
Senior Member
- May 12, 2013
- 195
- 86
habari wadau wa jf mimi ni mwanafunzi ngazi ya diproma ya uhandisi ujenzi sasa sa hivi tupo kwenye project final year sasa project yangu inahusu masuala ya barabara ya moro road ndo nikakutana na swali hilo hapo juu...?

Barabara ya morogoro road?...ndiyo nini?
Swali halina kichwa wala miguu!!!!!
Si inajengwa sasa!!!!!!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
nenda TANROAD ukafanye utafiti wacha mteremko kijana unataka utafuniwe umeze tu!
Dah! Hata hilo nalo?
ila watu wa humu amuko fear kabisa mm nauuliza tu kama unajua unanisaidia
1985 waziri mkuu salim Ahmed salim aliizindua
si ni bara bara
tuwe fear" ili iweje sasa
we hujaona ulichokosea mpaka sasa?
ni barabara ya morogoro na siyo kusema "barabara ya morogoro road"..
huoni kama umerudia barabara mara mbili?
Hivi kuna Stashahada ya Uhandisi ujenzi???
limekuaje????
tuwe fear" ili iweje sasa
Mbona hapa hujauliza "rimekuaje"?