Morogoro pazuri sana
Hahaha.... utakufa...Uzuri wa murogoro ile huduma inayopatikana kayumba pale jion mjini kha!
morogoro pazur? Uzuri upi?
Ile hali ya hewa, halafu Mara nyingi nikiwa Moro mvua inanyesha...ts blessed land...
Napenda sana kwenda na baby Kule, jioni tunatoka, basi ile view ya milima mtoto wa kike najihisi kama Niko peponi, napapenda sana Moro....Siku moja ntahamia niishi hapo Inshaallah.
MOrogoro ilikuwa ya zamani, Ukikaa Msamvu unaona maji yanatiririka juu ya mlima.
Kiubaridi cha Morogoro utadhani haupo Tanzania jinsi kinavyopendeza.
Lakini ajabu miaka hii mji wa Morogoro kunakuwa na mgao wa maji!!!!!!!!
Na hii inatokana na wageni toka amikoa mingine kuingia na kukata miti. Milima sasa hivi imekuwa kipara.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
tushikamane na kayumba
Hakuna kisicho badirika.kila kitu kimebadirika uwezi fanananisha moro na mikoa yote tanzaniaeti aijabadirika...ila morogoro ndio nyumbani ata pawe vipi ndio nyumbani...milima uluguru hadi tuliani milima nguru.safi sana
Uzuri wa murogoro ile huduma inayopatikana kayumba pale jion mjini kha!