Morogoro ndio home, tujikumbushie historia

Morogoro ndio home, tujikumbushie historia

miaka ya 95 kipindi nipo shule ya msingi kiwanja cha ndege moro
ilikuwa poa Kwa bei za chakula ukiwa na mia 500 unaweza kura asubuhi mpaka jioni naombeni mnikumbushe jina la samaki wale wenye chumvi sana nimewasahau jina maana wale samaki hats ukiwachemsha tu ukitia pilipili mbuzi ugali unaenda bila shida
Hahaaa nguruka kaka.hapa mpka udenda hahaaaaaaa au uwachome ni hatari sana.moro kitambo ina historia mzuri
 
Nguruka!!!
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1441265179133.jpg
    uploadfromtaptalk1441265179133.jpg
    53.3 KB · Views: 259
mkuu nakukaribisha sana. Sku
nyingne uje peke yako mm
ntakuwa mwenyeji wako.
Tutaenda rocky garden, tunaenda
viber yaan popote unapopataka ili
uifaid vzr moro. Karibu sana jiskie
upo na hubby wako

Uandae na meno ya bandia manake utang'olewa meno bila ganzi...
 
Moro ndio home ata mgeni akifika ataki kuondoka.akuna kama moro
 
Jamani pale MKONGENI njia ya kuelekea Dodoma mnadani siku ya jumamosi ni kuchoma nyama kwa kwenda mbele, ule mnada wa Wamasai acha tu
 
Hahaaa nguruka kaka.hapa mpka udenda hahaaaaaaa au uwachome ni hatari sana.moro kitambo ina historia mzuri
Nina kumbukumbu ya Morogoro ya miaka ya 70, kwa kweli ili kuwa Kama Switzerland, na kweli uharibifu wa mazingira ni mkubwa, Leo ukisema morogoro, nakumkumbuka sana mbaraka mwishehe, juma kilaza, shillingi, ngulungu, coco billy wa super volcano, na wengine waliojenga Jina la Mji huu . Tujaribu kutunza mazingira
 
Morogoro kwa muziki nikikumbuka Moro Oyee,
Morogoro kws mpira nikikumbuka moro Oyee,
Mnyepe, Manga Oyee, Sembuli Oyee.
Shilingi, Shiwa Lyambiko.
Jogoo FC, Shujaa SC, Mseto SC.
Super Volcano, Moro Jazz, Cuban Marimba.
 
Timu yangu ya nyumbani chama kubwa ligi kuu tanzania Bara Mtibwa sugar.imepata ushindi wa ushindi wa kufungulia dimba
 
acha ukanda,umkoa na ukabila,unataka kutambika?
Watu kujikumbusha mji mliotoka, ulivyokuwa kuna ubaya gani? Kipi alichosema kinaashiria ukabila kuna watu wengi mashuhuri ambao walikuwa wametokea Morogoro,kama vile ilivyotoa wanasoka na wanamuziki wazuri enzi zake.
 
Back
Top Bottom