Karibu Morogoro mkoa mzuri wenye watu wapole,waliostaarabika na wenye hekima,
wavumilivu na wachapakazi.
Mkoa wenye vyakula vitamu na matunda kama MPUNGA,MABOGA,MAHINDI,MTAMA,
MAGIMBI,MASHELISHELI,VIGONZO na mboga za asili-MWIDU,,MUNGULU,MBUKU,SUNGA,
DEREGA,BWASI,HOMBO,MANGE,NG'UNDE,FIWI nk.
Pia matunda kama SABWA,MILIMILI,ZAMBARAU,NG'ONG'O,UHILIHILI,EMBE,NG'OWO,FURU,
GUWA,FENESI nk.
Viungo-kama UFUTA,KWEME,TUNGUJA nk.Maji ni ya kutosha.tunajivunia kunywesha nusu ya watz wote.Je,umeona MOROGORO ilivyo?.Hasa Waluguru wakumbuke kurudi kwao,mbona pako poa 2?.