Morogoro mpotayariiii?

Morogoro mpotayariiii?

John mungo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
1,008
Reaction score
1,029
Wandugu zangu wa jf kamani mkazi wa moro na unapenda kufahamiana zaidi jitambulishe hapa .
 
Mimi john mungo chamhene.
Ninaishi moro/mji mpya /mtaa wa fumilwa.
 
Mi naishi Matombo kata ya Mtombozi kijiji cha Lugeni....
 
Karibu Morogoro mkoa mzuri wenye watu wapole,waliostaarabika na wenye hekima,
wavumilivu na wachapakazi.
Mkoa wenye vyakula vitamu na matunda kama MPUNGA,MABOGA,MAHINDI,MTAMA,
MAGIMBI,MASHELISHELI,VIGONZO na mboga za asili-MWIDU,,MUNGULU,MBUKU,SUNGA,
DEREGA,BWASI,HOMBO,MANGE,NG'UNDE,FIWI nk.
Pia matunda kama SABWA,MILIMILI,ZAMBARAU,NG'ONG'O,UHILIHILI,EMBE,NG'OWO,FURU,
GUWA,FENESI nk.
Viungo-kama UFUTA,KWEME,TUNGUJA nk.Maji ni ya kutosha.tunajivunia kunywesha nusu ya watz wote.Je,umeona MOROGORO ilivyo?.Hasa Waluguru wakumbuke kurudi kwao,mbona pako poa 2?.
 
Back
Top Bottom