Morogoro Mjini: Fomu ya Uraisi imechakachuliwa!!!!!!!!!!


Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,611
Likes
705,438
Points
280
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,611 705,438 280
Kituo cha televisheni cha ITV kimeripoti fomu ya Uraisi iliyokuwa itumwe makao makuu haipiti kwenye fax machine na baadaye imegundulika siyo ile ambayo ni rasmi na hivyo imebadilishwa na juhudi zinafanyika kuelewa sababu na chanzo cha fomu hiyo kubadilishwa.................na jinsi matokeo ya Uraisi yanavyokuja kinyume cha matarajio yetu hofu ya kuwa fomu za mgombea uraisi zinachakachuliwa majimbo yote zinazidi kuongezeka na ushindi wa JK unaanza kutiliwa mashakani kuwa siyo kwa ridhaa ya wapigakura.ila ni wa nguvu ya dola....................kama hizi hisia ni kweli basi chaguzi hii haikuwa ya huru wala ya haki.................
 
Iza

Iza

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2009
Messages
1,905
Likes
171
Points
160
Iza

Iza

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2009
1,905 171 160
JK atambue kuwa nchi haitakuwa rahisi kiivo kutawalika...
 
J

JIWE2

Senior Member
Joined
Sep 17, 2010
Messages
124
Likes
5
Points
35
J

JIWE2

Senior Member
Joined Sep 17, 2010
124 5 35
Uhuru upo mlangoni. Mungu yupo nasi
 

Forum statistics

Threads 1,251,868
Members 481,917
Posts 29,788,260