Morogoro leo ccm wameandamana bila bugudha

Morogoro leo ccm wameandamana bila bugudha

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
Leo mkoani mororo mtangaza nia wa ccm abud amevunja amri halali ya polis kwa kuandamana bila bugudha yeyote ile.
Swali je polis wamekataza maandamano ya ukawa peke yao au ni pamoja na ccm?
 
Mwisho wa hayo yote ni octoba 25, kwa hiyo tuvumilie tuu, kwani wakati wetu haupo mbali saana. Wanasema ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kukucha.
 
Leo zito yupo na nape wanadiscis jinsi ya kuharibu nguvu ya ukawa
 

Attachments

  • 1439663033622.jpg
    1439663033622.jpg
    21 KB · Views: 732
  • 1439663072841.jpg
    1439663072841.jpg
    49.9 KB · Views: 684
Kiama chao kimefika waache wajichimbie makaburi
 
Leo zito yupo na nape wanadiscis jinsi ya kuharibu nguvu ya ukawa

wafuasi wa chadema hata akili hamtumiagi aiseeeee cjui kichwan kuna maji au uji tu? kwa hyo mnatufanya sisi hatuna macho? hapo nape yuko wap???? punguza mahaba ndg, najua hayo yote mahaba yanakusumbua.....
 
Masikini ccm Maandamano yalikua ya kina mama tuu!!!
 
mkoa wa mororo? upo nchi gani jamani maana naangalia atlar siuoni tz!! mlioelewa msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom