GE2025 Morogoro: Kampeni ya Uchaguzi ya Samia Suluhu kata ya Ngerengere

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwaajili ya kufanya Mkutano wa Kampeni kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.

Ahadi za Mgombea Urais Katika Mkutano wa Kampeni Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro

Huyu mgombea hamna kitu kwa head, yaani kabisa kwa nafasi yake anaongelea juu ya gharama za kutunza maiti mochwari, hv si vitu vya kuzungumzwa na naibu waziri?!.

Hana mradi mkubwa wa kitaifa hata mmoja ameahidi...duh nchi ina hasara kwa miaka mi5 mingine!!.
 
Amepata nafasi ya kuzungumza mbele ya Mh RAIS katika Kampeni za CCM mwaka 2025 alimahukuru kwa kuwatimizia wana NGERENGERE mahitaji yao lakini pia aliomba baada ya kumchagua RAIS aboreshewe kituo ch aAfya kiwe na Hadhi kubwa pia kwa pamoja anaungana na wananchi wote WA Morogoro kumpigia kura RAIS SAMIA
 
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwaajili ya kufanya Mkutano wa Kampeni kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.

Kumbe inaletwa Ikulu Tanzania na ndio wanamfanyia kampeni bi Tozo sio?😡
 
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwaajili ya kufanya Mkutano wa Kampeni kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.

Sindano za Lisu zingemvuruga kabisa ndo maana wakaona wamfunge ili asiwaharibie
 
Hapa Ngerengere kwenye mkutano wa kampeni
Askof Dr George Pindua wa Kanisa la KKKT ndio aliefanya maombi ya kufungua mkutano.
Na ndiye Askofu aliyealikwa

Lakini kuna Askofu aliyemaliza Muda wake Askofu Mameo nae ameonekana kwenye mkutano na akataka atambuliwe kama askofu wa jimbo na apewe nafasi ya kuongea na watu wa itifaki wakamfahamisha Askofu Mameo Kwamba Askof Pindua yupo na ndie aliyealikwa kufanya kazi hiyo lakin Askofu Mameo akaanza kutoa kauli ya kusema yeye hatakiwi anapendelewa askofu Pindua lakini kimsingi ndio mwenye haki na jimbo hili na amefanya jukumu lake
 
#haijapatakutokea
#ikulumawasiliano
#ccmtanzania
#samiasuluhuhassan
 
Hapa Ngerengere kwenye mkutano wa kampeni
Askof Dr George Pindua wa Kanisa la KKKT ndio aliefanya maombi ya kufungua mkutano.
Na ndiye Askofu aliyealikwa

Lakini kuna Askofu aliyemaliza Muda wake Askofu Mameo nae ameonekana kwenye mkutano na akataka atambuliwe kama askofu wa jimbo na apewe nafasi ya kuongea na watu wa itifaki wakamfahamisha Askofu Mameo Kwamba Askof Pindua yupo na ndie aliyealikwa kufanya kazi hiyo lakin Askofu Mameo akaanza kutoa kauli ya kusema yeye hatakiwi anapendelewa askofu Pindua lakini kimsingi ndio mwenye haki na jimbo hili na amefanya jukumu lake
Hawa vilaza wanagombania kuhutubia mkutano wa ccm? Hili kanisa ni tawi sawa na uvccm.
 
Naye apewe nafasi afunge mkutano kwa maombi au hata awasalimie wahudhuriaji hauoni alivovaa vizuri
 
Bila
Mahakama
Msajili
Policcm
Tume na zile cables zetu
TISS na walimu wasiojielewa
Ccm haijiwezi huu ni ukweli mtupu
Unasomba wamachinga?
 
Na wanachama mazombie
Waliojingishwa AKILI nao wakakubali sasa akili zimevia USAHA.
Gharama za maiti zinatozwa kipindi cha serikali yake hata leo. Yeye anadai baada ya siku 100 atazitoa? Alishindwa nn kwa miaka 4 yote? Kwann baada ya siku 100 akiwa ikulu?
Kwamba zilikuja kipindi cha JPM sawa? Mbona qlivyoingia yye hakuzitoa sasa?
 
Huyu mgombea hamna kitu kwa head, yaani kabisa kwa nafasi yake anaongelea juu ya gharama za kutunza maiti mochwari, hv si vitu vya kuzungumzwa na naibu waziri?!.

Hana mradi mkubwa wa kitaifa hata mmoja ameahidi...duh nchi ina hasara kwa miaka mi5 mingine!!.
Umeme mdogo sana kumkichwa
 
Back
Top Bottom