macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,482
- 61,395
Huyu mwanamke unayezungumzia anapatikana mtaani kwenu tu au pengine kwenye jamii unayoishi tu. Mimi kwenye maisha nimeona wanawake wenye msimamo na hawako kama unavyotaka kuniaminisha. Upande mwingine wa shilingi: Je wewe ni wale wenye mawazo kuwa mwanamme ni lazima achepuke na mwanamke akichepuka basi ni kiumbe dhaifu? Wewe ni wale wanaume wanadhani ukimtimizia mke wako mahitaji yake yote na familia unaitimizia kila kitu basi una uhuru wa kuchepuka mara moja moja ila mwanamke ni marufuku?Mwanaume ndiye mtu mwenye akili timamu tangu Dunia inaumbwa
Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana licha ya wadhifa na cheo kikubwa alichonacho bado ukimuimbisha vizuri unapiga.
Licha ya kupewa Kila kitu bado mwanamke anaweza kutembea na bonge la fala yaani ili mradi lijue kutongoza.
Mwanamke hajui anataka nini,
Mwanaume nitakaye msamehe ni yule atakayetembea na mke wangu bila kujua
Lakini Kuna vidume wanakujua wanamleta hadi kwako mkeo Kisha anakucheka na kukutangazia, lengo akuvue utu weeeeeeeeeeeeee
Sometimes comment tunazotoa hapa j.f huenda ni maumivu Fulani ndani ya moyo yaliyowahi kumkumba mtu.. kwa mfano uliposema kwamba bodaboda huyo kilichompata ni matokeo ya kutembea na mke wa mtu , Mimi kwa upande wangu nikawaza labda nawe ni mhanga wa hao bodaboda na visa vya kutembea na wake za watu. What if huyo bodaboda kilichomkuta ni visasi ambavyo havihusiani na mapenzi? au labda wahuni walifanya hivyo kwa lengo la kumpora bike?Heh!!
Inakuwa personal tena ..
Weweee...Sometimes comment tunazotoa hapa j.f huenda ni maumivu Fulani ndani ya moyo yaliyowahi kumkumba mtu.. kwa mfano uliposema kwamba bodaboda huyo kilichompata ni matokeo ya kutembea na mke wa mtu , Mimi kwa upande wangu nikawaza labda nawe ni mhanga wa hao bodaboda na visa vya kutembea na wake za watu. What if huyo bodaboda kilichomkuta ni visasi ambavyo havihusiani na mapenzi? au labda wahuni walifanya hivyo kwa lengo la kumpora bike?
Duh....aibu naona Mimi.Si huwa mwajisifia kuwatomba wake za watu.
Kuleni chuma hicho
Watu huchukua chombo ionekane ni wizi wa kawaidaHayo mauwaji hayana usiano na mapenzi,ni unyanganyi, ingekua kisasi chombo kisingechukuliwa, atakae kutwa na chombo ataliwa kichwa na Mahakama!!
Sawasawa.Weweee...
[emoji1787][emoji1787]..
Kuwa uyaone.
Naomba haya matokeo iwe ni 3*2 jamani !! Tatu haitoshin[emoji23][emoji23][emoji23] acha hizo mkuu
Yanga 0
USM ALGERS 3
Inaonekana Kuna boda ameshakupigia mbona chuki hivi!?Kula chuma hicho, ukifanya upumbavu kitachokukuta ni shauri yako...
Vipo vyanzo vinadai ni stori lakini pia vipo vyanzo vinadai kuwa ni ukweliIle nayo ni ya kweli au ni mbinu tu ya polisi kubaini mwizi?
Nauliza
Kamsome Willy Kuhne kuhusu optogramsHakuna ukweli wowote kuhusu kiini cha macho kutunza picha. Ila wauaji wengi wa Bongo ndivyo wanavyoamini ndiyo maana wanatoboa macho wanapooua.
Mzee target ilikuwa chombo tu sema unafurahia sana mke wako alikuwa anatombwa na bodaboda?Si huwa mwajisifia kuwatomba wake za watu.
Kuleni chuma hicho
Kula chuma hichoMzee target ilikuwa chombo tu sema unafurahia sana mke wako alikuwa anatombwa na bodaboda?
Khaaaaaaa khumamaeee kweli ,hizi ni akili au matope.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kilongo B Paul Laurence amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema kwa sasa wanaanza msako kuwatafuta Vijana wote ambao wanakaa vijiweni na kuvuta bangi ili waweze kuchukuliwa hatua kwani huenda ikawa sababu ya matukio kama hayo kutokea katika Mtaa wake.
Chanzo: Millard Ayo
Kwa style hiyo maskani zitakuwa nyeupeKhaaaaaaa khumamaeee kweli ,hizi ni akili au matope
Wanaacha kupeleleza,wanasomba somba tuKwa style hiyo maskani zitakuwa nyeupe
Ova
Mzee utakuwa na mental issueKula chuma hicho
π π π Mke wa mtu ni sumu yakheeNilijua tu lazima watu watahusianisha na mambo ya mapenzi yaan akili zetu wa bongo zinawaza mapenzi tu, mtu akijirusha ghorofani mapenzi, mtu akijinyonga mapenzi, mtu akijipiga risasi mapenzi , mtu akiuliwa mapenzi
yaan kila kitu huwa tunahitimisha kwa jibu la mapenzi bila kuwa na taarifa kamili
Hakuna anaewaza labda katobolewa macho akiwa anajaribiwa kuporwa pikipik au labda mambo mengine