Morogoro: Bus za mikoani zimezuiwa kutoka kituo cha Mabasi Msamvu

Hivi kwanini magari ya msafara huwa yanatembea zigzag pande zote za barabara kwani hayawezi kutumia upande mmoja ili shughuli zingine ziendelee? Yan watu wanapenda sana ufalme kwamba akiwa barabaran barabara atumie peke yake hajui Kuna watu Wana matatzo yao wengne wako njian kuelekea safar za mbali na huenda wanaenda kwaajili ya matatizo hapo unaweza kusimamishwa hadi masaa mawili au matatu kusubiri msafara
 
Muda huu hakuna gari inayotoka stand morogoro
Zimezuiliwa zote wanadai kuna msafara
Mambo ya kawaida sana haya wala si habari kubwa kwa sisi tuliozoea kusafiri barabara ya moro kuna misafara ambayo mingine naona kabisa haina tija huku mikoani gari huwa zinazuiwa ikitokea Mh rais au waziri mkuu anaenda kwenye ziara
 
shukeni kwenye magari mkapange foleni mkiwa na bendera na vitambaa vyeupee kupungia msafara, uzalendo ni muhimu
 
Back
Top Bottom