Kwa wale ambao hawajawahi kufuatilia maendeleo ya Nchi tofauti tofauti za Africa
Nafikiriki kupitia AFCON inayo endelea kwa sasa, wameweza kupata picha Morocco ni kama Ulaya.
Pamoja na kuwa na viwanja vya mpira vya hadhi ya Ulaya takriban 9 vikiwemo vya kupokea mashabiki takribani 95,000 kwa kiwanja kimoja
Wana miundombinu ya kuwapokea mashabiki wote ikiwemo malazi, kuwapeleka viwanjani na kuwarudisha bila shida yoyote, wana ustaarabu wa hali ya juu. Kule huwezi ona mashabiki sijui wanarusha chupa za maji uwanjani
Na kwa taarifa tu; Sio Morocco pekee, Nchi za kaskazini kama Misri, Tunisia, Algeria (libya ilivurugwa na mamluki) nk nk huko kaskazini mwa Africa wapo another level japo tunajiona wote tupo bara moja
Ninavyo ona Morocco wana hadhi kabisa ya kuandaa kombe la dunia japo wamepewa washirikiane nchi mbili 2030