DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Timu ya mama.. Wangepeleka Polisi waibe matokeo ya MoroccoHongera sana kwa wana haki wowote pale nchini Tanzania.
Leo ilikuwa ni Haki vs Dhulma na uonevu.
Upuuzi na ushamba umeshindwa ila endeleeni kukaza mafuvu.
Kimataifa ndiyo uwezo halisi wa mtanzania unaonekana. Huko hakuna kudanganyana.Timu ya mama.. Wangepeleka Polisi waibe matokeo ya Morocco
Ehe, ione ng'ombe hii..... Tukisema mnaleta siasa kwenye michezo mnapinga. Kwa hiyo unataka kutuambia nini?Mmeona Uwanja ulivyofulika?
Nyie kaeni mnanuna nuna kwenye mitandao tutawaonesha jinsi tutavyofurika kupiga kura October
Unaumia ukiwa wapi?Kwakudandia matukio na maono ya kichadema kwaiyo Morocco ndio mahakama kesho Lisu yupo huru au sijakuelewa😇😇😇
Sio kila anayepinga ni chadema acha kukariri .. wangeenda kuiba magoliKwakudandia matukio na maono ya kichadema kwaiyo Morocco ndio mahakama kesho Lisu yupo huru au sijakuelewa😇😇😇
Uchaguzi wa mwaka huu utapooza saana tokea vyama vingi virudishwe tena kwa tamaa ya madaraka ya watawala CCMMmeona Uwanja ulivyofulika?
Nyie kaeni mnanuna nuna kwenye mitandao tutawaonesha jinsi tutavyofurika kupiga kura October
Ulivyosema Morocco imeshinda, haki imeshinda tayari ushaeleweka.Ehe, ione ng'ombe hii..... Tukisema mnaleta siasa kwenye michezo mnapinga. Kwa hiyo unataka kutuambia
Hakuna kitachopoa CCM inawatu million 13 na.. kati ya hao mimi simo ila wengi km mimi nasi tumejiandikisha na tunatickUchaguzi wa mwaka huu utapooza saana tokea vyama vingi virudishwe tena kwa tamaa ya madaraka ya watawala CCM
Mmeona Uwanja ulivyofulika?
Nyie kaeni mnanuna nuna kwenye mitandao tutawaonesha jinsi tutavyofurika kupiga kura October
Unapokelewa km ulivyokujaEhe, ione ng'ombe hii..... Tukisema mnaleta siasa kwenye michezo mnapinga. Kwa hiyo unataka kutuambia nini?
Kwa nini lisingeunganishwa li waya kutoka pale TFF mpaka uwanjani?Timu ya mama.. Wangepeleka Polisi waibe matokeo ya Morocco