Morocco Hackers Again! Je Tu-retaliate?

Morocco Hackers Again! Je Tu-retaliate?

Donyongijape

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2010
Posts
1,497
Reaction score
814
Nimetembelea website ya makamu wa raisi, huwezi amini nilichokuta. Ni mitusi kwa kwenda Mbele, kwa maandishi na kuna muziki wa hiphop wa mitusi.. Kuna mtu anajiita Govt Attacker. Mr. Spam ..! Eti ni Mmoroco. Go visit The Vice-President's Office - Home - uone. Je hii inamaanisha nini kwa systems zetu za mawasiliano if we can be easily hacked like this??

422083_654306414584741_1961817818_n.jpg 34732_654306501251399_880017624_n.jpg
 
Chezea maCCM..Bungeni mbona matusi kama kawa siku hizi....
 
Nimefungua, nimeona hiyo hacked by mr. spam lakini sijaona matusi. Labda utuambie ni page gani?
 
Watundu wasio na nidhamu (WWN) wamevamia tena Web ya Tanzania. Jamaa inaonekana wameumia sana Taifa Stars kuwafunga sasa wanafukunyua website chovu za serikali.

Naomba wadau muweke list ya site walizochezea so far.

Swali ni kuwa Tukawachezee kwao? Mchezo tunauweza?

Tunatakiwa tufanye Hacktivist? Serikali itatulinda in case...!?

Moroccan Hacklist
1. The Vice-President's Office - Home -
 
Propaganda majitaka!

Hacked by Mr. Spam Aka X-mar root go secure your ass mtf!!!n
Moroccan Hackers was here UnderfireSecurity Specoal thanks
GovAttacker
youssef-pac@hotmail.com

unasema propoganda wakati mie nimefungua sasa hivi nimekutana na hayo maneno kwenye home page..!! Wakati mwingine chai kavu mnasababisha mpaka sie ambao hatupendi madudu yenu tuonekane wapumbavu..! umekaririshwa eeh..!
 
Last edited by a moderator:
websites,?we plan more attacks on critical infastructures,periament site is vuln,
 
Hacked by Mr. Spam Aka X-mar root go secure your ass mtf!!!n
Moroccan Hackers was here UnderfireSecurity Specoal thanks
GovAttacker
youssef-pac@hotmail.com

unasema propoganda wakati mie nimefungua sasa hivi nimekutana na hayo maneno kwenye home page..!! Wakati mwingine chai kavu mnasababisha mpaka sie ambao hatupendi madudu yenu tuonekane wapumbavu..! umekaririshwa eeh..!

Mhurumie tu,chai kavu haina kitafunwa!
 
TANZANIA UKIWA NA HELA/Umaarufu TU. HATA IKULU UNAINGIA. Sembese hapo.. Serikali yetu ishaoza.. Yaani wanakula hela hata za kuweka security kwenye website
 
Leo ndiyo umegundua hilo???

Labda wewe ndio unagundua leo kuwa huwa sitetei uozo. Sifungamani na upande wowote ndio maana nakuwa huru kusema ukweli. As an experienced IT najua kilichofanyika kwenye hiyo website ni nini, na kwa nini mtu ameweza kuhack, na kwa nini huyo website administrator hajatatua hilo tatizo hadi sasa.
 
Back
Top Bottom