M Mparee Halisi Senior Member Joined Jan 4, 2014 Posts 104 Reaction score 8 Jan 18, 2015 #1 Habari wana Jf,naomba mwenye freguency na Symbol rate za Morning Star TV anisaidie, ikiwezekana na maujanja mengine,Nashukuru sana.
Habari wana Jf,naomba mwenye freguency na Symbol rate za Morning Star TV anisaidie, ikiwezekana na maujanja mengine,Nashukuru sana.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,591 Jan 18, 2015 #2 Mbona kama inapatikana Ting na Digitek pekee
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Jan 19, 2015 #3 12418 v 30000 amos5
M Mparee Halisi Senior Member Joined Jan 4, 2014 Posts 104 Reaction score 8 Jan 20, 2015 Thread starter #4 Nashindwa kuelewa kuhusu hiyo amos5,naomba unieleweshe japo tu kidogo Bro