sawa sawa mkuu, lile jengo pale bado linatumika mpaka leo..?Ilikua makazi rasmi ya wajerumani kipindi cha ukoloni, pamoja na kanisa lake la kilutheri lililojengwa pembeni, pamoja na hayo walijenga pia shule pia walileta miche na maua mengi tu kutoka ujerumani
Labda nikuulize hayo maajabu uliyosikia wewe ni yapi?ulienda kuyaona au kutembea tu..?, inasemekana ndio kauli iliyozungumzwa huko juu
maajabu au mambo hayo yalikuwa yakitokea enzi zile za wajerumani, ndio nataka kufahamunilienda huko mwaka 97 palikuwa pazuri sana!
last year nilitaka kwenda ni kaishia Bahati Camp nikakosa muda wa kufika morning sight
sijnui maajabu ya hulo mimi naona kawaida tu kama historical sight zingine
asante mkuuPande zetu sana hizo kuanzia Rock Garden unapanda mpaka Bahati camp,Alaf tunatokea Shule ya Towero then tunapanda zaidi tunaelekea Morning Site..Jirani yangu alikuwa na kampuni ya kukata mbao iliitwa Morning site saw hill.
Hakuna maajabu .sifahamu, ndio maana nimeleta hapa wanaojua watujuze, nimesema nasikiasikia
Waluguru wameshaanza kurefuka siku hizi?Morogoro naukubali sana mji huu
Nalog off
Ulichoka na kale kampandoHata sikumbuki niliishia wapi ila ni mita chache tu kufika morning sight.
Hebu tuelezee hayo maajabu ulosikia.
