ah, mi nisha move on bwana, no time for that. ila ndio hivo mwambie snowhite:Weee, no retreat no surrender
ah, mi nisha move on bwana, no time for that. ila ndio hivo mwambie snowhite:
dada msaidizi, ukiwaamua paka na panya mshahuri paka, then kamshahuri na panya
maana mi nimejikalia zangu huku sehem sehem mara whatsapp na PINGs kibao toka kwa "boss wako".
ah, mi nisha move on bwana, no time for that. ila ndio hivo mwambie snowhite:
dada msaidizi, ukiwaamua paka na panya mshahuri paka, then kamshahuri na panya
maana mi nimejikalia zangu huku sehem sehem mara whatsapp na PINGs kibao toka kwa "boss wako".
Konie naomba email yako (or is your Kongosho facebook still on?)Mna majigambo nye siku hizi
Yaani wewe, ugomvi wa manati unakuja na hili?
Tunahitaji kufika kwa babu Dark City (na nanvyoniringia huyu kibabu afu mie nasulubiwa kwa ajili yake)
HIvi hamwezi kuendelea haya maongezi bila kunihusisha jamani?
Konie naomba email yako (or is your Kongosho facebook still on?)
hahahahaha, kumbe upo online? #TwenzetuSkypeAu tuwawekee ile picha ya pete zetu aisee au ile picha tulipiga Mlimani city nini?
It's okay dear, tanieni tu maana sio mahusiano ya kimapenzi.sorry ma!
maskii simjui hata mmoja thought was just utani!nisamehe bure mwali!PLEASE!
It's okay dear, tanieni tu maana sio mahusiano ya kimapenzi.
But ndio hivo tena I don't want to be involved in utani wenu.
Hujanikwaza dear.Nimekuelewa dear!
ngoja niache the whole thing!
pole sikujua kuwa nakukwaza in any way!u cud ve told me before!wala nisingeendelea!
SAMAHANI million times!
Mkuu umeharibu hapo kwenye CONDOM!ya nini tena?
sitaki kusikikwa tu...na kuitikwa pia
HahahahahahaKama kuna kitu nakichukia hata kukiona basi ni kondom
article nzuri sana lkn kondom ya nn bana?Mm ile harufu yake natapika!Niliwahi tumia mara moja tu hamna utamu kabisa!Afadhali nisigegede kabisa kuliko kutumia kondom bana