‘Morning Glory’ kwa wanandoa

Khantwe umesoma?
 
Hhahahahahahahahah!!!! nadhani uzito umepungua kama kg 2 hivi
 
ndio, kwani walimu hawana madereva? wewe unafikiri ni mwalimu wa kajamba nane?
kasomea uingereza, anafundisha Feza
Unatupanga mkuu, mara unaMKE mara una MUME hueleweki mkuu
 
Mleta mada uko sahihi sana morning glory ina nguvu sana hata kama mlikuwa mmekosana Morning Glory inatibu, kila aina ya ugonjwa vipere, mapunye, fangasi za kimahusiano, mabachelor hawawezi kuelewa wao wanawaza negatives tu kuhusu ndoa
 
Wanajichelewesha mambo mazuri
 
Baridi ya Leo Hapa Mwanza kama hujapata morning glory kazi haziendi.
Jitahidi sana kufanya mapenzi asubuhi, walau ukojoleshwe mara moja, inakupa kujiamini sana, pia ni njia ya asili ya kusafisha uke.
pia damu inakuwa inazunguka vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…