‘Morning Glory’ kwa wanandoa

Majibu yote yapo kwenye hii post yako mkuu. Tunajibiwa hivi hivi hadi mtu unaona kwa nini ujisumbue, ngoja nilale usingizi wangu uishe niende job nikiwa fresh.
 
Mapenzi ni moja kati ya field ambazo jamii za kiafrika zime invest sana
 
Majibu yote yapo kwenye hii post yako mkuu. Tunajibiwa hivi hivi hadi mtu unaona kwa nini ujisumbue, ngoja nilale usingizi wangu uishe niende job nikiwa fresh.
Wanajisahau sana hawa ndugu zetu, ukibadili upepo unashangaa atavyoanza kuhangaika na simu yako sasa.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanawake wengi wanazinguaga kwenye kuduu sababu wanaume wengi mna ubinafsi yaan mkishakojoa nyie mnawaacha wenzenu na hamu zao sisi hisia zetu ni mbali maandaliz ni dk 30 mbka lisaa sasa io asubuh mda unakuta autoshi unakuta mwanamke ndo ana kaz ya kukusubir wewe ukojoe yeye wala hafill chochote.

Wanaume wengi mko zero kwenye maandalizi mtu hajatoka uteute eti mnapaka mate looh "puuh"
Limtu baada ya tendo ndo anauliza "kwani ujakojoa"?!.duuuh kama ni mimi nakuacha siku ioio.
Mkiwa mafundi hamtanyimwa.
Tena mueke akilini blow job ni kwa wanandoa waioridhishana usiku tuu.
 
unataka maandalizi gani ya 30dk??
 
Umejaribu au ulivyosoma umeshawishika kwenda kulala sehem?
Morning glory ni tofauti na chakula cha usiku, "morning glory inapigwa alfajir flani hivi kabla ya kutoka kitandani kila mtu anakuwa na joto flani mwilini , yaani raha nyie wacheni tu,shosti ukipata mume mgand, hii kitu ni ni tamu jamani
 
Acha bwana..

Tulioko single tunatesekana sana..

mume mgand yukoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…