Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
du ----tards-msamiati mpya kwangu
mkuu hiyo ni slang inamaanisha mtu mwenye upungufu au matatizo ya akili au mwehu au mpumbaavu
Hahahaaa Morgan kanichekesha alivyowajibu hapo lol
Hahahahahaaaa.... Leo nimeongeza tusi moja kwenye kamusi yangudu ----tards-msamiati mpya kwangu
Mbona hawajafanana!!