Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,440
Habarini, majina hayo hapo juu ni maarufu mno kwa wahusika ambao wanajijua tena sana tu,
Watakuja wenyewe kufunguka hapa.
Uzi tayari!
Watakuja wenyewe kufunguka hapa.
Uzi tayari!
Ni mkali sana ukifeli?Mtaalamu wa Hesabu, yuko wapi huyu jamaa siku hizi?! Stori nyingi sana akiwa darasani na ana sauti yake flani hivi ya kimamlaka utafrahi mwenyewe kumskiliza
Mshirikina?Aliletwa shule moja mkoa wa mara wanafunzi walimkataa sababu ya unoko wake na rekodi ya huko alikotoka. Pia ni mchawi mchawi
Yupo Ndanda boys huko
Ulisoma pale?One of the best Head Master..
Aliirekebisha sana Ndanda Secondary
Ndio mkuuUlisoma pale?
Wanasema huyu ni mtu wa kitengo, kwasasa yupo huko Bukoba kama Afisa Elimu Sekondari. Ila yule jamaa kwenye masuala ya uongozi na utawala ameiva sana.Habarini, majina hayo hapo juu ni maarufu mno kwa wahusika ambao wanajijua tena sana tu,
Watakuja wenyewe kufunguka hapa.
Uzi tayari!
Sidhani kama anaweza kuwa tithi, rekodi zake hazi match kwa yeye kuwa tithiWanasema huyu ni mtu wa kitengo, kwasasa yupo huko Bukoba kama Afisa Elimu Sekondari. Ila yule jamaa kwenye masuala ya uongozi na utawala ameiva sana.