Joop
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 346
- 672
Kiburi
Mjeuri
Katili
Mtata
Mpigaji (Mbadhilifu)
Mshirikina (hii imesemwa toka akiwa second master Mara Sec)
Ni visa vingi vy huyu mwamba
Akiwa Oswald Mang'ombe (hii ilikuwa shule iliyojengwa na Nimrod Mkono Mb) aliwahi kuwachapa viboko wakina mama aliowakuta wanaokota kuni eneo la shule
Pale Oswald Mang'ombe alitoka kwa jasho na damu... wanafunzi wamemng'oa ila yeye kakatalia documents eti hadi hao wanafunzi wachukuliwe hatua dah!!
Huwa nashangaa kusikia boys wa Ndada wanamsifia sanaaa