Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa kati ya 30-33 na ninahitaji mume wa kati ya 33 na kuendelea. Awe na elimu ya kujitosheleza, mfanyakazi au aliyejiajiri. Kabila lolote Tanzania na pia awe Mkristo. Hili swala naomba tu mchukulie kwangu ni kitu halisi hapa sina utani na wala siko kwa ajili ya kumpotezea mtu muda. Na katika hili pia namshikirisha Mungu nikiamini mume/mke mwema anatoka kwa Bwana. Na pia kwa wale watakao nishauri na kunitia moyo kwenye hili nawashukuru. Kaka zangu popote pale ulipo na unajiona kweli unahitaji mke naomba uni PM lakini kama ni swala la mzaha au kujaribisha naomba usipoteze muda.
aa wapi!
All the best jena dont forget to pray because without God's grace we can not achieve whatever we want to do.Jamani wana JF nawashukuru wote kwa ushauri wenu, najisikia vizuri kwamba kuna watu wameelewa kwamba niko serious na wengi wenu mmenishauri vizuri. Nazidi kuwaomba mzidi kuniombea ili niweze kukamilisha hili zoezi na ninauhakika nikifanikisha tu lazima nirudi kutoa shukrani za dhati.
What a coincedence! Wana Jf heshima kwenu, ni mara yangu ya kwanza kuchangia humu jamvini lakini nakutana na habari njema za mchumba, ki ukweli niko single na ninahitaji mchumba umri miaka 34, nafanya kazi serikalini lakini nina hofu kweli na namna hii ya kupata mchumba ni kweli naweza kupata mtu anayefaa kweli kimaisha? Jamani.. "we are talking about life here! Let's be more than serious!
What a coincedence! Wana Jf heshima kwenu, ni mara yangu ya kwanza kuchangia humu jamvini lakini nakutana na habari njema za mchumba, ki ukweli niko single na ninahitaji mchumba umri miaka 34, nafanya kazi serikalini lakini nina hofu kweli na namna hii ya kupata mchumba ni kweli naweza kupata mtu anayefaa kweli kimaisha? Jamani.. "we are talking about life here! Let's be more than serious!
Asante kwa makaribisho Keren, nitawasiliana naye kweli huyo dada
Nilitegemea kwa mtu mpenda haki kama wewe na kwa imani yako iliyo safi na kwa usomi wako utajitendea haki kwa kuweka hapa hukumu ya shauri hilo, ili kutia nguvu shutuma zako.. Si tulisikia suala hilo lilifikishwa mahakamani? Mlalamikaji alichemka huko au alishinda??Midhali uko tayari kukusolewa, kushauriwa uwe tayari zaidi. Mi si mkristo sitarajii kuku PM. Imenenwa "mpendelee nduguyako lile ambalo unalipenda wewe nafsini mwako". Tafuta contacts za Dr W Slaa (mgombea urais Tz 2010). Huyu anakidhi karibu vigezo vyako vingi na ana shida, Inasemekana amefikia hadi kuazima au kupora wake za watu jinsi alivyo na shida ya mke.
1 Anapenda na ana uwezo wa kukosoa, katika ndoa yenu uta enjoy na hilo, 2 umri wake ni zaidi ya miaka 33. 3 ni Mkristo, ni padri mpenda bwana hata katika Uchaguzi mkuu wakristo wengi waliridhika nae. 4 ana elimu ya kujitosheleza naamini hakusoma shule za Memkwa wala UPE, 5 kajiajiri kisiasa zaidi, posho yake siijui kwa siku ni kiasi gani lakini matanuzi anayo, usishangae posa za awali na pete vinaweza kuletwa kwa helikopta kama kwenu hakuna barabara, wakati wa ndoa yenu mnaweza mkajinunulia gari la kwendea msalani na lingine sokoni n k.
Sikufatilia kabila lake halisi kama ni mtusi au mmasai ila dalili za ubantu na uhutu hana. any way midhali kigezo kwako si tatizo naamini utamtafuta.
Hii isije ikafikirika namfagilia Slaa peke yake ila na wewe pia nataka ukipate unachotafuta
Jamani wana JF nawashukuru wote kwa ushauri wenu, najisikia vizuri kwamba kuna watu wameelewa kwamba niko serious na wengi wenu mmenishauri vizuri. Nazidi kuwaomba mzidi kuniombea ili niweze kukamilisha hili zoezi na ninauhakika nikifanikisha tu lazima nirudi kutoa shukrani za dhati.