More than serious nahitaji mume wandugu

Karibu sana na kila la heri ila kina CPU wa mzaha wako wengi so kuwa mvumilivu sana dear

Mkuu, hebu soma kijana alivyomjibu hapo chini, mi wala sitanii naongea kweli. Nipo singo na Bado kabisa kufika 33 au zaid kama anavyotaka mdada jena

Sikukatishi tamaa but 33+ years wanaume wengi washaoa au wana wachumba.try 29 yrs or less
 
Jena usikate tamaa Mungu atakubariki utapata mume mwema endelea kumuomba Mungu asikilize maombi yako.
 
Mkuu, hebu soma kijana alivyomjibu hapo chini, mi wala sitanii naongea kweli. Nipo singo na Bado kabisa kufika 33 au zaid kama anavyotaka mdada jena
We CPU si ulifaulu usaili kwa Lizzy sasa hapa tena unafanya nini au yako ni ndoa ya wake wengi ?
 
Naona anatafuta nyumba ndogo mapema kabisa hata kabla hajaoa ili akioa asipate shida
 
Ka kwangu ni kajiswali,najua wengi hatujuani humu na wengine for some reasons wanafahamiana,je kuna couple yoyote ambayo walifanikiwa kuoana baada ya kufahamiana through JF?
 
mhh nami huwa najiuliza hivyohivyo:hand:
 
Kwenye ajira-Pass
umri-fail
dini-fail
elim ya kujtosheleza-pass
kabila lolote-pass,
je sup inaruhusiwa?
 
We CPU si ulifaulu usaili kwa Lizzy sasa hapa tena unafanya nini au yako ni ndoa ya wake wengi ?

Uporoto1
Yule binti tatizo inaonyesha wazi hajaridhika na CPU coz ikitokea mtu anaomba uchumba au mke basi anakuwa wa kwanza ku-apply
 
Ka kwangu ni kajiswali,najua wengi hatujuani humu na wengine for some reasons wanafahamiana,je kuna couple yoyote ambayo walifanikiwa kuoana baada ya kufahamiana through JF?

Mkuu, hii mi nasikia tu watu wanadai wapo waiooana. Kuna mmoja (nadhani ktk thread hii hii) anadai alifanikiwa kupata mke humu na sasa wameshaoana na wamezaa mtoto mmoja. Ingawaje ukifikiria vizuri unaona its possible kuwa kweli lakin bado utagundua most of relationships zilizoanzia kwa watu kujuana online zinaishia kwenye ngono tu. Almost 95% I guess
 
Tangu ni join JF, its my fist tme to c a serious post kama hii ya dada jena, n am hapy kuona hata replies zimekuwa zaheshima.
I just wish ningekuwa na hvyo vigezo bt i dnt fit.

Wish u all the best dada jena, na mungu atakupa mume mwema.
 
Uporoto1
Yule binti tatizo inaonyesha wazi hajaridhika na CPU coz ikitokea mtu anaomba uchumba au mke basi anakuwa wa kwanza ku-apply

Mi nilihangaika nae miezi mitatu mara yuko hot mara cold nikaachia ngazi,maneno yako yana ukweli flani.
 
Ka kwangu ni kajiswali,najua wengi hatujuani humu na wengine for some reasons wanafahamiana,je kuna couple yoyote ambayo walifanikiwa kuoana baada ya kufahamiana through JF?
Huyu hapa
 
Umri wako hauujui mpaka uweke kati ya 30-33? Nadhan kama umri umeshindwa utaja waz hata kuna mambo mengine utafcha ivoivo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…