Ndo maana wanaume wa humu wameumia maana jamaa kaonyesha kuwazidi kete katika kumshawishi mwanamke,, Ni vyema wakamuombe mbinu na ushauri, Harmo katika hili kaonyesha uanaume haswaa, aibu na dhihaka aliyopitia ni kubwa mno lakini alisimamia alichokitaka na kakipata