East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
In a space of four days, UN troops
helped defeat Congo's M23 rebels in
2013 and it had been hoped that next
to be crushed was the FDLR whose
leaders are either standing trial in
Germany for presiding over a terrorist
organisation or are wanted for genocide
and crimes against humanity.
Kipigo cha M23 wanyArwanda HASA WATUSI hawaji kukisahau! Milele>Jeuri ya kagame iliyeyuka kama mvuke baada ya kipigo kile hakuamini macho yake yeye na wanajeshi wake.
Kwa hiyo wanatamani kipigo kile kile wapigwe FDLR.!!! It will never happen.Kile kilikuwa kipigo special kwa M23 na wale waliokuwa wakiwasaidia kutaka kumpindua kabila.Hao FDLR hawana mpango wa kumpindua kabila wala kuiangusha serikali ya kongo.Ni wakimbizi wa kisiasa wa Rwanda.Hivyo kesi yao ni tofauti na M23.