Monusco on the spot as FDLR deadline expires

- Sasa ngoma imefikia FDLR ambapo Wakongo tayari wameonyesha msimamo wao hawawataki hawa jamaa katika ardhi ya nchi yao, na wapo tayari kuhusika kijeshi katika kuwatoa FDLR kwao,
Wanawatoa waende wapi? Rwanda? Rwanda haijaandaa mazingira ya kuwapokea na haitaki mazungumzo nao! Kinachotakiwa kumaliza tatizo ni mazungumzo na kagame ashinikizwe kuongea na FDLR wapate suluhisho.Wakongo wakiamua kupigana na FDLR watakuwa wanajiumiza wenyewe na wananchi wao ndani ya kongo.

Unless wamelenga kufanya genocide ya kuua hao FDLR wote ambalo sidhani kama FDRL watakubali wauawe wote na majeshi ya kongo.Watajiunga na mbali mbali vya wapiganaji waasi wa kongo na hivyo kufanya tatizo la kuleta amani kongo kuwa gumu zaidi.
 
Wanawatoa waende wapi? Rwanda? Rwanda haijaandaa mazingira ya kuwapokea na haitaki mazungumzo nao! Kinachotakiwa kumaliza tatizo ni mazungumzo na kagame ashinikizwe kuongea na FDLR wapate suluhisho.Wakongo wakiamua kupigana na FDLR watakuwa wanajiumiza wenyewe na wananchi wao ndani ya kongo.

Unless wamelenga kufanya genocide ya kuua hao FDLR wote ambalo sidhani kama FDRL watakubali wauawe wote na majeshi ya kongo.Watajiunga na waasi.
Mbona wenzao, zaidi hata ya idadi iliyobaki DRC, wamerudi na wako vizuri tu...hapo kwenye misitu ya Congo na watoto wadogo ambao wanapotezewa haki yao ya Elimu, kina Mama na wazee, huko ndiko kupigania demokrasia wakati wananchi yao inayowahimiza kurudi kwao.
Warudi kama siasa waifanyie nchini Rwanda, by the way that is for the better of their children;Otherwise not only them ila hata watoto wao itakuwa shida sana kupata uongozi bila Elimu na malezi bora.
 
Mkuu uko sahihi na FDLR wanataka kurudi Rwanda.Sio kama wapiganaji bali kama kundi la kawaida la Kisiasa.Lakini kufikia hilo mazungumzo yanatakiwa kati ya hao waasi na serikali ya Rwanda.Issue ni kuwa wakitaka kurudi hata leo wanaingiaje Rwanda? Wanavukaje mpaka wa Rwanda? Wanaendaje kwenye makazi yao je kule waendako kumeandaliwa kisiasa na kijamii? Kuzungumzia tu kusema waende kwao wanaendaje? wapige makombora majeshi ya kagame waigie Rwanda kwa mtutu wa bunduki au iweje kwani Kagame hataki mazungumzo nao.

Sasa serikali ya kongo ikiamua kuwapiga mabomu ili iweje? solution inatakiwa hawa watu waende kwao Rwanda.Rwanda ifungue mipaka warudi.Na hili linawezekana kwa mazungumzo si makombora tu ya kongo,rwanda au majeshi ya Monusco.Kongo ikiwaponda na makombora wakijaribu kukimbilia kwao Rwanda Majeshi ya Rwanda mpakani yataanza kuwaponda na makombora kuwa ni wavamizi wamevamia Rwanda.Hivyo watakuwa wanapondwa kotekote na majeshi ya kongo na yale ya Rwanda.Hii itakuwa ni Genocide part II ambayo nafikiri ndio lengo la Kagame.

Rwanda ikae nao iongee nao walimalize.Na ni vizuri Kagame alimalize kabla ya kuondoka kwenye utawala sababu asipofanya hivyo atakuwa hajamtendea haki mrithi wake au wanyarwanda kwani atakuwa kawaachia tatizo kubwa.Moja ya changamoto anayotakiwa kuimaliza akiwa madarakani si kujenga barabara za vioo, miundombinu ya kiteknolojia ya hali ya juu na majumba ya kisasa kigali ya kwenda angani,changamoto kubwa aliyonayo ni kumaliza tatizo la FDLR kidiplomasia kwa njia ya mazungumzo sio mtutu.
 
Hili nalo neno.

Rwanda ikae nao iongee nao walimalize.Na ni vizuri Kagame alimalize kabla ya kuondoka kwenye utawala sababu asipofanya hivyo atakuwa hajamtendea haki mrithi wake au wanyarwanda kwani atakuwa kawaachia tatizo kubwa.Moja ya changamoto anayotakiwa kuimaliza akiwa madarakani si kujenga barabara za vioo, miundombinu ya kiteknolojia ya hali ya juu na majumba ya kisasa kigali ya kwenda angani,changamoto kubwa aliyonayo ni kumaliza tatizo la FDLR kidiplomasia kwa nia ya mazungumzo sio mtutu.
 
Kibona, huu ndio unafiki tunaousema kila mara, Rwanda Foreign affairs minister ndiye alisema ikifika hiyo deadline ya kudisarm FDRL ndipo ukweli utajulikana wa nani mnafiki..
FDRL imekuwa named as a negative force that needs to be disarmed by all means, hii ilikubaliwa na mataifa yote na mpaka sasa hivi, ukiondoa Tanzania nchi zote zishatoa msimamo wake juu ya FDRL.
Hapa utajiuliza Tanzania ina faida gani juu ya FDRL?
Tanzania inakisaidia sana kikundi cha FDRL; Political assistance is more than anything, manake kama nchi inadiliki kukiita kikundi hiki kuwa ni cha kupigania uhuru (kumbuka only Tanzania has given out this statement);on the other side nchi kama Marekani na mataifa ya Ulaya kwa wao FDRL ni kikundi cha kighaidi.
Kikundi hiki kimekuwa banned na viongozi wake kukataliwa kutembea mataifa ya Ulaya ila nchi, tena jirani ya Rwanda ndio inakuwa ya kwanza ku defend kikundi hicho.(Any way lets wait and see, ila what i know this wont help anything):
DRC Congo ishasema kabisa haiko tayari kuendelea ku host FDRL, and Congolese are taking it as a terrorist organization:
Nadhani wegi hatutakuwa tumekosea tukisema Tanzania inataka kuanzisha vurugu nchini Rwanda.
Mpaka sasa Mushikiwabo hakuwa sahihi kusema tutaona mnafiki, kwasababu hata ilipokuwa inawekwa hiyo deadline si kwamba TZ ilikubaliana na approach ya Kagame. Msimamo wa TZ ulikuwa clear na kumbuka kwasasa FIB haitakuwa chini ya command ya Mwakiborwa maana yeye amemaliza muda wake huyo kamanda mwingine hatakuwa mtanzania hivyo hakuna mahali ambapo kwa uwazi TZ inazuia kuanza operation dhidi ya FDLR ila msimamo wake ni kwamba hakuna suluhu inaweza kupatikana dhidi ya FDLR kwa njia ya kijeshi bila kwanza kuwa tayari kuuwa mamilioni ya wahutu huko Congo kwasababu tatizo la msingi ambalo linatokana na Kagame halijashughulikiwa. Sasa huu msimamo haumaanishi kuwa Tanzania sasa inataka kuleta vurugu Rwanda, hiyo sio kweli maana hakuna vurugu zinazolipa sana sana ni hasara tu. Tukitaka tutatue tatizo la Rwanda ni lazima kilio cha wahutu waliokimbilia Congo kisikilizwe.
Kama mataifa mengine yanaona ni sawa kuendelea na operation ya kijeshi ni kazi rahisi tu, Nchi yoyote iliyotayari na ambayo itakubalika na mataifa mengine inaleta wanajeshi wake na kuanza kazi, JWTZ wanaweza wakawekwa pembeni tu kama walivyo wamalawi au wanaweza hata kutuambia tuwarudishe nyumbani, hapo nadhani lawama zitaisha. Kuhusu DR Congo hawazuiwi kuanza operation na TZ, wanaweza kuanza halafu FIB itawapa support kwa kutumia wanajeshi wa malawi na south Africa.
Kuhusu FDLR kuwa branded kama Negative forces, ni sawa kabisa hakuna kikundi chochote ambacho kinapigana dhidi ya serikali kikaitwa positive force, hata RPF walikuwa ni negative force walipochukua nchi ghafla wakageuka positive force. kwahiyo hayo ni majina tu lakini msingi hasa wa kagame kupiga vita FDLR ni kuwa hataki democracy maana under any fair election kagame hafikishi 30% ya kura na ndio maana hataki FDLR warudi rwanda kama organisation, na anajua kuwa FDLR kama organisation haina genocidal ideology hivyo akikubali mazungumzo hatakuwa na jinsi ya kuprove malalamiko yake.
 
Mkuu uko sahihi na FDLR wanataka kurudi Rwanda.Sio kama wapiganaji bali kama kundi la kawaida la Kisiasa.Lakini kufikia hilo mazungumzo yanatakiwa kati ya hao waasi na serikali ya Rwanda.Issue ni kuwa wakitaka kurudi hata leo wanaingiaje Rwanda? Wanavukaje mpaka wa Rwanda? Wanaendaje kwenye makazi yao je kule waendako kumeandaliwa kisiasa na kijamii? Kuzungumzia tu kusema waende kwao wanaendaje? wapige makombora majeshi ya kagame waigie Rwanda kwa mtutu wa bunduki au iweje kwani Kagame hataki mazungumzo nao.

Sasa serikali ya kongo ikiamua kuwapiga mabomu ili iweje? solution inatakiwa hawa watu waende kwao Rwanda.Rwanda ifungue mipaka warudi.Na hili linawezekana kwa mazungumzo si makombora tu ya kongo,rwanda au majeshi ya Monusco.Kongo ikiwaponda na makombora wakijaribu kukimbilia kwao Rwanda Majeshi ya Rwanda mpakani yataanza kuwaponda na makombora kuwa ni wavamizi wamevamia Rwanda.Hivyo watakuwa wanapondwa kotekote na majeshi ya kongo na yale ya Rwanda.Hii itakuwa ni Genocide part II ambayo nafikiri ndio lengo la Kagame.

Rwanda ikae nao iongee nao walimalize.Na ni vizuri Kagame alimalize kabla ya kuondoka kwenye utawala sababu asipofanya hivyo atakuwa hajamtendea haki mrithi wake au wanyarwanda kwani atakuwa kawaachia tatizo kubwa.Moja ya changamoto anayotakiwa kuimaliza akiwa madarakani si kujenga barabara za vioo, miundombinu ya kiteknolojia ya hali ya juu na majumba ya kisasa kigali ya kwenda angani,changamoto kubwa aliyonayo ni kumaliza tatizo la FDLR kidiplomasia kwa njia ya mazungumzo sio mtutu.
Labda kwa kukufahamisha tu, Rwanda imejiandaa na imejitayarisha kuwapokea wapiganaji wa FDRL, kumbuka wapiganaji wengi tu wamekuwa wakirudi Rwanda;
Kuna kambi maarumu imewekwa ya kuwapokea wapiganaji hao, hii kambi ipo mkoa wa kaskazini sehemu inayoitwa Mtobo.
Huku wanapitia kwa mda wa atleast three weeks then wanapelekwa vijiji walivyotokea, wale ambao wanapenda kuendelea na jeshi mara moja wana kuwa integrated (offcourse kuna mafunzo mengine inabidi wapitie ili waendane na standards za RDF).
Kutoka kwenye kambi hii, huwa wanapewa basic needs sana sana nguo,blankets, vifaa vya jikoni,sabuni etc.
Most of them wana familia Rwanda, so mara nyingi hurudi moja kwa moja kwenye mashamba yao, sio hiyo sio big deal kwamba serikali iwe na mazungumzo nao kwani mpango huu tayari upo, na uko monitored na kufadhiliwa na mashirika mbali mbali ya kimataifa.
Kiukweli hawana uwezo kijeshi, for them to be a threat to Rwanda, tatizo ni ile ideology wanayoieneza.
Ukitaka kujua ukweli wa FDRL inabidi uangalie its origin, hawa ni the same people walioenda wanabadili majina since 1994.
Hili nikundi linalo jificha nyuma ya Raia wasio na hatia na kuendelea kufanya mauaji nchini DRC.
Cha kusikitisha issue ya siasa ni kwa viongozi wachache mno ambao wanaongoza FDRL, nahwa wengi wanaishi mijini, ila kwa kuogopa kubaki peke yao, hutisha raia wengine ambao wanataka kurudi Rwanda.
 
Mpaka sasa Mushikiwabo hakuwa sahihi kusema tutaona mnafiki, kwasababu hata ilipokuwa inawekwa hiyo deadline si kwamba TZ ilikubaliana na approach ya Kagame. Msimamo wa TZ ulikuwa clear na kumbuka kwasasa FIB haitakuwa chini ya command ya Mwakiborwa maana yeye amemaliza muda wake huyo kamanda mwingine hatakuwa mtanzania hivyo hakuna mahali ambapo kwa uwazi TZ inazuia kuanza operation dhidi ya FDLR ila msimamo wake ni kwamba hakuna suluhu inaweza kupatikana dhidi ya FDLR kwa njia ya kijeshi bila kwanza kuwa tayari kuuwa mamilioni ya wahutu huko Congo kwasababu tatizo la msingi ambalo linatokana na Kagame halijashughulikiwa. Sasa huu msimamo haumaanishi kuwa Tanzania sasa inataka kuleta vurugu Rwanda, hiyo sio kweli maana hakuna vurugu zinazolipa sana sana ni hasara tu. Tukitaka tutatue tatizo la Rwanda ni lazima kilio cha wahutu waliokimbilia Congo kisikilizwe.
Kama mataifa mengine yanaona ni sawa kuendelea na operation ya kijeshi ni kazi rahisi tu, Nchi yoyote iliyotayari na ambayo itakubalika na mataifa mengine inaleta wanajeshi wake na kuanza kazi, JWTZ wanaweza wakawekwa pembeni tu kama walivyo wamalawi au wanaweza hata kutuambia tuwarudishe nyumbani, hapo nadhani lawama zitaisha. Kuhusu DR Congo hawazuiwi kuanza operation na TZ, wanaweza kuanza halafu FIB itawapa support kwa kutumia wanajeshi wa malawi na south Africa.
Kuhusu FDLR kuwa branded kama Negative forces, ni sawa kabisa hakuna kikundi chochote ambacho kinapigana dhidi ya serikali kikaitwa positive force, hata RPF walikuwa ni negative force walipochukua nchi ghafla wakageuka positive force. kwahiyo hayo ni majina tu lakini msingi hasa wa kagame kupiga vita FDLR ni kuwa hataki democracy maana under any fair election kagame hafikishi 30% ya kura na ndio maana hataki FDLR warudi rwanda kama organisation, na anajua kuwa FDLR kama organisation haina genocidal ideology hivyo akikubali mazungumzo hatakuwa na jinsi ya kuprove malalamiko yake.
Hapo ndipo hatuelewani, how sure are u kwamba FDRL as a political organization are better than Kagame? hivi nikipi wameifanyia Rwanda kiasi cha kutegemea 70% votes from wananchi.
(I hope hauongelei ukabila hapa, manake thats what we are fighting for).
Hapa ndipo mnajidanganya sana, manake hamjui Kagame anavyopendwa na wananchi wake, makabila yote.
Na wanampenda kwa sababu ya kile anachokifanyia nchi yake.
Labda tu kwa kuuliza, hivi ni kilio kipi hicho ambacho hakiwezi kusikilizika wakiwa Rwanda?hivi kwanini hao wa Hutu ndio wapewe kipaumbele kuzidi wa Hutu walio nchini Rwanda
 
Labda kwa kukufahamisha tu, Rwanda imejiandaa na imejitayarisha kuwapokea wapiganaji wa FDRL, kumbuka wapiganaji wengi tu wamekuwa wakirudi Rwanda;
Kuna kambi maarumu imewekwa ya kuwapokea wapiganaji hao, hii kambi ipo mkoa wa kaskazini sehemu inayoitwa Mtobo.
Huku wanapitia kwa mda wa atleast three weeks then wanapelekwa vijiji walivyotokea, wale ambao wanapenda kuendelea na jeshi mara moja wana kuwa integrated (offcourse kuna mafunzo mengine inabidi wapitie ili waendane na standards za RDF).
Kutoka kwenye kambi hii, huwa wanapewa basic needs sana sana nguo,blankets, vifaa vya jikoni,sabuni etc.
Most of them wana familia Rwanda, so mara nyingi hurudi moja kwa moja kwenye mashamba yao, sio hiyo sio big deal kwamba serikali iwe na mazungumzo nao kwani mpango huu tayari upo, na uko monitored na kufadhiliwa na mashirika mbali mbali ya kimataifa.
Kiukweli hawana uwezo kijeshi, for them to be a threat to Rwanda, tatizo ni ile ideology wanayoieneza.
Ukitaka kujua ukweli wa FDRL inabidi uangalie its origin, hawa ni the same people walioenda wanabadili majina since 1994.
Hili nikundi linalo jificha nyuma ya Raia wasio na hatia na kuendelea kufanya mauaji nchini DRC.
Cha kusikitisha issue ya siasa ni kwa viongozi wachache mno ambao wanaongoza FDRL, nahwa wengi wanaishi mijini, ila kwa kuogopa kubaki peke yao, hutisha raia wengine ambao wanataka kurudi Rwanda.

Hebu tusaidie Kagame anachogomea kusema hawezi kuzungumza na FDRL ni nini? Sababu amesema mara nyingi kuwa hayuko tayari kuzungumza nao.
 
Simple, hoja zao hazina mshiko labda nikupatie mfano hivi hawa vijana wa Panya road kesho wakikimbilia Rwanda then after a year wanaanza kuingia Tanzania na kurusha mabomu, na kuua Raia.
Unadhani Rais atayekuwepo anaweza kukubali maongezi nahao watu, and offcourse it depends on what will be on the agenda;
Lets say wao wanasema tunataka kugawana madaraka blah,blah...unadhani kiongozi wa nchi atakubali.
Kuna muundo wa serikali,kuna katiba inayo fuatwa siyo kila anayeomba mazungumzo anakubaliwa tu.
Labda kama kiongozi hajiamini.
 
Ulizoweka ni assumption za let say, let say.Hapa tunaongelea maisha Real wanaoteseka misitu ya kongo na familia zao na watoto wao sio Assumptions.Ukikubali kufanya mazungumzo ndipo agenda zaweza andaliwa zinazokubalika pande zote.Sasa ukifunga njia ya mazungumzo ukabaki na let say,let say agenda zitatoka wapi.

Kagame akubali kwanza kuwa na mazungumzo na FDLR kitakachofuata ni agenda kuandaliwa zitakazokuwa na faida kwa Rwanda ya sasa na baadaye za kuongelewa ambazo zitakubaliwa na Kigali na FDLR.Lakini Kagame akishilkilia kukataa tu mazungumzo haelewiki. Angekataa agenda zilizoko kwenye hayo mazungumzo tungeweza tafakari kukataa kwake na sababu atoazo TUKASEMA YUKO SAHIHI AU HAYUKO SAHIHI.Tukam-judge fairly.Lakini hataki mazungumzo.

Waswahili tunasema MTU HAKATAI WITO HUKATAA AITIWALO.KAGAME HATAKI WITO WA MAZUNGUMZO NA FDLR KWA WASWAHILI TUNASEMA KAKOSEA angeitika kwanza wito wa mazungumzo.
 
Hapo ndipo hatuelewani, how sure are u kwamba FDRL as a political organization are better than Kagame? hivi nikipi wameifanyia Rwanda kiasi cha kutegemea 70% votes from wananchi.
(I hope hauongelei ukabila hapa, manake thats what we are fighting for).
Hapa ndipo mnajidanganya sana, manake hamjui Kagame anavyopendwa na wananchi wake, makabila yote.
Na wanampenda kwa sababu ya kile anachokifanyia nchi yake.
Labda tu kwa kuuliza, hivi ni kilio kipi hicho ambacho hakiwezi kusikilizika wakiwa Rwanda?hivi kwanini hao wa Hutu ndio wapewe kipaumbele kuzidi wa Hutu walio nchini Rwanda
Ofcourse uko sahihi nimerely kwenye ukabila ndio nikasema hapati kura zaidi ya 30%. Lakini nimesema hivyo kwasababu zifuatazo kuwa Wahutu walio nje ya Rwanda wanalalamika kuwa wakati wa mauwaji ya halaiki yaliyofanywa na interahamwe na wahutu pia walikuwa wanauwawa na RPF lakini sasa picha inajengwa kuwa waathirika walikuwa watutsi pekee (Wahutu walioko Rwanda hawawezi kutoa malalamiko haya na wakabaki salama), Wanalia pia kuwa Majeshi ya kagame yalipoingia kuwasaka interahamwe huko Congo yakisaidiwa na yale ya Uganda waliuwa wahutu wengi wasiokuwa na hatia na bado hilo halishughulikiwi, Wanalalamika pia kuwa hakuna uwanja sawa wa kisiasa ktk Rwanda wanatoa mfano wa Victoire ingabire kuwa kuhoji kwanini haoni pia makumbusho ya wahutu waliouwawa, ikapelekea kufungwa jela badala ya kupewa majibu. Huu ni upande wa wahutu wa nje ya Rwanda. Hali ya Rwanda inafanya pia malalamiko ya walio nje kupata nguvu; Angalia trend ya watu waliotofautiana na Kagame Bizimungu, Ingabire, Nyamwasa, Rudasingwa, Karegeya n.k Sasa Rais anayependwa hutarajii kuona matumizi makubwa ya nguvu za dola kudeal na wapinzani wa kisiasa, halafu kuonesha kuwa hakuna uwezekano wa mtu kujieleza bila kuzimwa huko Rwanda, angalia jinsi kila anayetofautiana anakimbia nchi. Kisha wanaojiita vyama pinzani kama cha yule Harelimana eti kinashauri kagame aongezewe kipindi kingine, hakuna mahali mpinzani wa kisiasa akiwa ktk free mind anaweza kutaka katiba ibadilishwe ili mtawala aendelee kutawala. Aina hiyo ya wapinzani ndio kagame anawataka, yaani hataki kuona mawazo tofauti na ya kwake na ikitokea hivyo basi vitisho ndio mpango. Sasa hivi hata wafanyabiashara nao anataka wawe wanampigia makofi tu. Rujugiro Ayabatwa kumshauri tofauti tu shida kagame kaamua kumkomoa kwa kupokonya trading Mall yake pale kigali. Kagame huyohuyo baada ya kikwete kutofautiana naye kimtazamo kuelekea FDLR yeye katishia kumpiga. Sasa ukiangalia yanayotokea unagundua malalamiko ya wanyarwanda walioko nje ya Rwanda yana mashiko.
 
Ulizoweka ni assumption za let say, let say.Hapa tunaongelea maisha Real wanaoteseka misitu ya kongo na familia zao na watoto wao sio Assumptions.Ukikubali kufanya mazungumzo ndipo agenda zaweza andaliwa zinazokubalika pande zote.Sasa ukifunga njia ya mazungumzo ukabaki na let say,let say agenda zitatoka wapi.

Kagame akubali kwanza kuwa na mazungumzo na FDLR kitakachofuata ni agenda kuandaliwa zitakazokuwa na faida kwa Rwanda ya sasa na baadaye za kuongelewa ambazo zitakubaliwa na Kigali na FDLR.Lakini Kagame akishilkilia kukataa tu mazungumzo haelewiki. Angekataa agenda zilizoko kwenye hayo mazungumzo tungeweza tafakari kukataa kwake na sababu atoazo TUKASEMA YUKO SAHIHI AU HAYUKO SAHIHI.Tukam-judge fairly.Lakini hataki mazungumzo.

Waswahili tunasema MTU HAKATAI WITO HUKATAA AITIWALO.KAGAME HATAKI WITO WA MAZUNGUMZO NA FDLR KWA WASWAHILI TUNASEMA KAKOSEA angeitika kwanza wito wa mazungumzo.
Umekosea, huwezi kuomba mazungumzo bila ya kuwa na agenda..au kile unachotaka kuongelewa.
Kwa upande mwingine hoja ya aliyeanzisha thread ni involvement ya Tanzania kwenye suala hili.
Hii issue ni kati ya Rwanda na DRC na wote wanakubaliana kwamba FDRL lazima isalimishe silaha.
1.Hivi viongozi wa Tanzania wanaona ni faida kuwa na ushirikiano na FDRL instead of Rwanda?
2.Nikutaka kulipiza kisasi sababu hawakufurahishwa na statement ya Kagame?(Ila hapa it is obviously no, since the collaboration started even before)
3.Kwanini hii issue inakuwa of more concern to Tanzania more than DRC , does it mean Tanzania iko safi sana kiasi cha kutaka kuingilia internal politics za nchi nyingine.
 
Tanzania imekuwa mhanga wa kupokea wakimbizi toka rwanda kwa miaka imechoka kupokea wakimbizi toka rwanda ambao wanaharibu resources zetu kuanzia misitu,vyanzo vya maji, ujambazi wa silaha,na tabia na mila zao mbaya ambazo haziendani na mila na tabia za watanzania.Hata ile swaga wahamiaji haramu ni ishara ya wazi ya watanzania kuwa we are tired of you rwandese go to your country.Sidhani kama kuna mtanzania ambaye anawahitaji wanyarwanda Tanzania wawe wakimbizi au vyovyote.Tumewasoma kwa miaka mingi ya uwepo wao Tanzania tumewaelewa tunadhani ni watu tusiowahitaji nchini kwetu.

Tanzania inajua suala la FDLR lisipoisha sasa waweza rudi Rwanda kivita wakaishambulia Rwanda tena na Watusi wa Rwanda wakafurika tena Tanzania kwa wingi kama wakimbizi.

Rwanda haitaki kuongea nao Lakini ni wa muhimu kuongea nao ili kumaliza tatizo la kisiasa ndani ya Rwanda na kutatua tatizo la wakimbizi wa Rwanda kufurika Tanzania.

Bila kuongea na kumalizana na FDLR Tanzania inajua kuwa iko siku watusi watafurika kwa wingi Tanzania Kitu ambacho tanzania haitaki kitokee tena.Sasa kama kagame hataki kuongea na FDLR Na anatukana wanaomshauri na kusema I will hit you ulitaka tanzania imfanyeje iseme sawa ikae kimya? Mtu kama hataki mazungumzo basi unaenda kwa yule ambaye yuko tayari kwa mzungumzo.Kagame hataki mazungumzo wakati FDLR wako tayari kwa mazungumzo lazima utaenda kuongea na walio tayari kwa mazungumzo.Huyo asiyetaka mazungumzo utaongea naye baadaye akishaona maana na umuhimu wa mazungumzo.
 
Mbona Uganda na Burundi hawana shida wakati nawao wanapakana na Rwanda.
Kukataa kudisarm negative forces ndio njia ya kuzuia ukimbizi?
 
Uganda,rwanda na burundi sio kwamba hawana shida.Wao ndio wazalishaji wa negative forces kongo.Kuna makundi ya waasi wa Rwanda,Burundi na uganda kule kongo.Aliyekaa vibaya ni Tanzania yakitokea ya kutokea wakivurumishana huko wakimbizi kibao toka uganda,rwanda na burundi wanafurika Tanzania.Na ndio maana Tanzania Ilikubali kupeleka JWTZ kule kongo ambako ndio uwanja wa kukusanyikia waasi toka nchi hizo.Ukiwavurumisha kule kongo au ukatafuta ufumbuzi wake wa wale waasi kule basi unakuwa umetatua tatizo la wakimbizi kufurika Tanzania kwani asilimia kubwa ya wakimbizi wa Tanzania toka nchi hizo ni wale wahanga wa vita.

Hakuna anayekataa ku-disarm FDLR .Hata wao wako tayari.Lakini wako tayari kufanya hivyo ikiwa kuna political solution itakayopatikana kwenye mazungumzo.Itakayoeleza vizuri mstakabali wao kisiasa na kijamii utakuweje Rwanda.
 
Talkandtalk,

..Kagame amemuita JK genocider na kudai kwamba anatafuta an opportunity "kumshughulikia"/kumuua.

..sasa katika mazingira kama hayo, kwanini JK apoteze askari wake kupambana na FDLR ambao ni maadui wa Kagame?

..mandate ya FIB inaisha in march na nitaunga mkono askari wetu kurudi nyumbani na tatizo la FDLR limalizwe na wengine.

..Tanzania tumeshafanya vya kutosha kwa kuwatwanga m23, na kufundisha mamia ya askari wa DRC.

cc waltham, jMali, lawmaina78, East African Eagle, Kishimbe wa Kishimbe
 
Last edited by a moderator:
[h=1]Southern Africa: Statement by President Zuma on the Situation Related to the Voluntary Disarmament of the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR) in the DRC[/h]

By The PresidencyPretoria - The deadline set by the Heads of State and Government of Southern African Development Community (SADC) and the ICGLR for the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR) to disarm voluntarily or face military action expired yesterday, 2 January 2015.

The Chair of the SADC Organ on Politics, Defence and Security Cooperation His Excellency President Jacob Zuma has taken note of the second wave of disarmament events that took place on 28 December 2014 in the provinces of North Kivu and South Kivu respectively, during which a further 151 FDLR combatants disarmed voluntarily and 67 weapons were handed over.

This brings the total number of combatants who have disarmed since May 2014 to 337 and the number of weapons handed over to 234. This represents approximately 24% of the FDLR's estimated total number of combatants.
The FDLR has therefore to date not complied in full with the conditions imposed by the Heads of State and Government of SADC and the ICGLR.

A Joint Summit of Heads of State and Government of SADC and the ICGLR will take place on 15 and 16 January 2015 in Luanda to review the situation related to the voluntary disarmament of the FDLR and to decide on the appropriate action to be taken following the expiry of the deadline that had been set.

In the interim, the Chair of the SADC Organ launches an earnest and urgent appeal on the leadership of the FDLR and all remaining combatants to immediately and unconditionally present themselves for disarmament. SADC remains committed to the internationally mandated objective of neutralising all negative forces operating in the Democratic Republic of the Congo, including the FDLR, and remains ready to play its fullest part in this regard.

The Chair of the SADC Organ looks forward to participating in the Joint Summit of Head Heads of State and Government of SADC and the ICGLR in Luanda, Angola later this month to agree on a common approach to make decisive progress in reaching this shared objective.

cc lawmaina78, jMali, msemakweli, Kibona, JustDoItNow
 
Last edited by a moderator:
Kibona, huu ndio unafiki tunaousema kila mara, Rwanda Foreign affairs minister ndiye alisema ikifika hiyo deadline ya kudisarm FDRL ndipo ukweli utajulikana wa nani mnafiki..
FDRL imekuwa named as a negative force that needs to be disarmed by all means, hii ilikubaliwa na mataifa yote na mpaka sasa hivi, ukiondoa Tanzania nchi zote zishatoa msimamo wake juu ya FDRL.
Hapa utajiuliza Tanzania ina faida gani juu ya FDRL?
Tanzania inakisaidia sana kikundi cha FDRL; Political assistance is more than anything, manake kama nchi inadiliki kukiita kikundi hiki kuwa ni cha kupigania uhuru (kumbuka only Tanzania has given out this statement);on the other side nchi kama Marekani na mataifa ya Ulaya kwa wao FDRL ni kikundi cha kighaidi.
Kikundi hiki kimekuwa banned na viongozi wake kukataliwa kutembea mataifa ya Ulaya ila nchi, tena jirani ya Rwanda ndio inakuwa ya kwanza ku defend kikundi hicho.(Any way lets wait and see, ila what i know this wont help anything):
DRC Congo ishasema kabisa haiko tayari kuendelea ku host FDRL, and Congolese are taking it as a terrorist organization:
Nadhani wegi hatutakuwa tumekosea tukisema Tanzania inataka kuanzisha vurugu nchini Rwanda.

Mkuu, hizo propaganda zako na za followers wa kagame mi nakwambia zitaisha. Bila kuongea na kupata muafaka na DFRL, rwanda itakuwa ni nchi isiyokuwa na amani siku zote. Time will tell ambapo Tanzania itaitaji kwenda rwanda na kuleta amani ya uhakika. Nyie jiandaeni tu kama muna ubavu.
 
Talkandtalk,

..Kagame amemuita JK genocider na kudai kwamba anatafuta an opportunity "kumshughulikia"/kumuua.

..sasa katika mazingira kama hayo, kwanini JK apoteze askari wake kupambana na FDLR ambao ni maadui wa Kagame?
Mkuu hilo unalosema nalo neno.Kumkomoa Kagame nafikiri Tanzania ijitoe.Ili pambane na adui wa ndani na nje na hao walioko kongo halafu tuone kama hata hiyo nia ya kubadili katiba ili aendelee kutawala kama atakuwa nayo
Kagame nafikiri hajui kuwa tatizo la FDLR lingemalizika kama angemsikiliza Kikwete sababu waasi wengi na ukorofi wao wote huwa wanaiheshimu sana Tanzania.Hata RPF ilikuwa ikiiheshimu Tanzania kabla ya kuingia madarakani.Walipoingia wakaota pembe.Lakini ni vipembe vidogo tu sababu Jeshi lake lenyewe la Rwanda sio imara sababu limegawanyika kwa misingi ya kikabila.Ni rahisi tu kupata waasi hata ndani ya jeshi la RPF lenyewe na ndani ya nchi kuna watu kibao wasioridhika na yanayoendele Rwanda wahutu na watusi wasiotoka koo za akina kagame.Hivyo kupata makundi ya waasi ndani ya Rwanda wa kupambana na kagame ni kitu kidogo sana.
Ndio maana anataliwa amalizane na waasi aweke misingi mizuri ya demokrasia na utawala bora ambao kila mnyarwanda bila kujali kabila au eneo atokalo atajiona sehemu ya Rwanda.Kagame anatakiwa ajenge Rwanda ya kudumu iliyotulia siyo ya kijeshi ambayo usalama wake ni mtutu wa bunduki tu usiku na mchana hiyo siyo amani sustainable.

Anyway kuondoka majeshi yetu kongo kutafanya Rwanda irudi tena kule kupora madini.Kagame kawa mkali kwa Tanzania kwa kumdhibiti uporaji wake madini kongo kwa uwepo wa majeshi kule.Hela za vita na kununua silaha Rwanda walikuwa wanapatia kongo.Kongo ikidhibitiwa kwa kipindi walau cha miaka miwili tu Rwanda itarudi enzi za mawe hawana hela za kuendesha uchumi zaidi ya kutumia hela za misaada na uporaji wa madini kongo.
 
Back
Top Bottom