Monusco on the spot as FDLR deadline expires

Kibona, huu ndio unafiki tunaousema kila mara, Rwanda Foreign affairs minister ndiye alisema ikifika hiyo deadline ya kudisarm FDRL ndipo ukweli utajulikana wa nani mnafiki..
FDRL imekuwa named as a negative force that needs to be disarmed by all means, hii ilikubaliwa na mataifa yote na mpaka sasa hivi, ukiondoa Tanzania nchi zote zishatoa msimamo wake juu ya FDRL.
Hapa utajiuliza Tanzania ina faida gani juu ya FDRL?
Tanzania inakisaidia sana kikundi cha FDRL; Political assistance is more than anything, manake kama nchi inadiliki kukiita kikundi hiki kuwa ni cha kupigania uhuru (kumbuka only Tanzania has given out this statement);on the other side nchi kama Marekani na mataifa ya Ulaya kwa wao FDRL ni kikundi cha kighaidi.
Kikundi hiki kimekuwa banned na viongozi wake kukataliwa kutembea mataifa ya Ulaya ila nchi, tena jirani ya Rwanda ndio inakuwa ya kwanza ku defend kikundi hicho.(Any way lets wait and see, ila what i know this wont help anything):
DRC Congo ishasema kabisa haiko tayari kuendelea ku host FDRL, and Congolese are taking it as a terrorist organization:
Nadhani wegi hatutakuwa tumekosea tukisema Tanzania inataka kuanzisha vurugu nchini Rwanda.

Mkuu, talkandtalk; Nakubariana na wewe upande mmoja and i differ with you on the other side, Kwanza sikubariani na wewe kwa dhana eti Tanzania inataka kuanzisha vurugu nchini Rwanda, kwani hakuna any evidence za kuonyesha kuwa TZ inaanzisha Vurugu nchini Rwanda na Labda niseme umepitiwa kidogo (slip of tongue) kusema hivyo na endapo ulimaanisha, basi unastahili kuomba Radhi kwa Watanzania Via JF....

Definition ya Vurugu(violence as politically refereed as instability etc)

According to oxford dictionary, the word violence refers to the unlawful exercise of physical force or intimidation by the exhibition of such force. sasa kwa definition hii, where do you connect the dot? ushahidi tunaomba....

UN CHARTER

UN charter inashauri mazungumzo yafanyike ili kupata Amani. for instance it provides, Article 33 (1) of the UN Charter provides inter alia that, The parties to any dispute, the continuance of which is likely to endanger the maintenance of
international peace and security, shall, first of all, seek a solution by negotiation, enquiry, mediation,conciliation, arbitration, judicial settlement, resort to regional agencies or arrangements, or other peaceful means of their own choice. kwa hiyo Tanzania aliweza kuliona hilo na ndo maana alishauri from the begining yawepo mazungumzo kati ya pande mbili.

UN CHARTER ON CIVIL AND POLITICAL RIGHT 1956

Ibara ya 20,Ibara ndogo ya 1 na 2 vikisomeka kwa pamoja, provides that Any propaganda for war shall be prohibited by law. Thus, Any advocacy of national, racial or religious hatred that con'stitutes incite ment to discrimination, hostility or violence shall be prohibited by law.

Hivyo basi, matumizi ya nguvu na vita vimeharamishwa na sheria za umoja wa mataifa kwa mantiki hiyo na kwa kuzingatia kwamba kila mtu ana Haki ya kuwa na chama OR Mwanachama wa Tasisi yoyote bila kubugudhiwa na hivyo ndo misingi ya democrasia na utawala bora vinavyotaka. One thing am not sure is whether Rwanda has the former or the later...
 
Talkandtalk,

..Kagame amemuita JK genocider na kudai kwamba anatafuta an opportunity "kumshughulikia"/kumuua.

..sasa katika mazingira kama hayo, kwanini JK apoteze askari wake kupambana na FDLR ambao ni maadui wa Kagame?

..mandate ya FIB inaisha in march na nitaunga mkono askari wetu kurudi nyumbani na tatizo la FDLR limalizwe na wengine.

..Tanzania tumeshafanya vya kutosha kwa kuwatwanga m23, na kufundisha mamia ya askari wa DRC.

cc waltham, jMali, lawmaina78, East African Eagle, Kishimbe wa Kishimbe

mi nashauri zaidi ya hapo Tanzania iseme kuwa haitakuwa tayari kuchukua wakimbizi wowote wale toka Rwanda tena. Safari hii wakishatifuana watafute pa kwenda. Kwa sababu kuna kila dalili huu mgogoro ukaanzisha guerilla warfare ndani ya rwanda. Sasa hivi tu kama kuna mtu anasoma daily news ataona kuna ongezeko kubwa la "wanyarwanda" waliosoma alama za nyakati wanaomba uraia kwa fujo.
 
Mkuu, talkandtalk; Nakubariana na wewe upande mmoja and i differ with you on the other side, Kwanza sikubariani na wewe kwa dhana eti Tanzania inataka kuanzisha vurugu nchini Rwanda, kwani hakuna any evidence za kuonyesha kuwa TZ inaanzisha Vurugu nchini Rwanda na Labda niseme umepitiwa kidogo (slip of tongue) kusema hivyo na endapo ulimaanisha, basi unastahili kuomba Radhi kwa Watanzania Via JF....

Definition ya Vurugu(violence as politically refereed as instability etc)

According to oxford dictionary, the word violence refers to the unlawful exercise of physical force or intimidation by the exhibition of such force. sasa kwa definition hii, where do you connect the dot? ushahidi tunaomba....

UN CHARTER

UN charter inashauri mazungumzo yafanyike ili kupata Amani. for instance it provides, Article 33 (1) of the UN Charter provides inter alia that, The parties to any dispute, the continuance of which is likely to endanger the maintenance of
international peace and security, shall, first of all, seek a solution by negotiation, enquiry, mediation,conciliation, arbitration, judicial settlement, resort to regional agencies or arrangements, or other peaceful means of their own choice. kwa hiyo Tanzania aliweza kuliona hilo na ndo maana alishauri from the begining yawepo mazungumzo kati ya pande mbili.

UN CHARTER ON CIVIL AND POLITICAL RIGHT 1956

Ibara ya 20,Ibara ndogo ya 1 na 2 vikisomeka kwa pamoja, provides that Any propaganda for war shall be prohibited by law. Thus, Any advocacy of national, racial or religious hatred that con'stitutes incite ment to discrimination, hostility or violence shall be prohibited by law.

Hivyo basi, matumizi ya nguvu na vita vimeharamishwa na sheria za umoja wa mataifa kwa mantiki hiyo na kwa kuzingatia kwamba kila mtu ana Haki ya kuwa na chama OR Mwanachama wa Tasisi yoyote bila kubugudhiwa na hivyo ndo misingi ya democrasia na utawala bora vinavyotaka. One thing am not sure is whether Rwanda has the former or the later...
Subiri, kun UN report inatoka karibuni na inaonyesha FDRL collaborators and how they do it.
 
Te te te wanaomba uraia kwenye nchi 'chafu'...?hawajawai kufika Chigali hao inavyoelekea...

Hawajaona vitanda vya hospitali kule waka compare na Mwananyamala...?

Ningekuwa afisa uhamiaji ningewauliza maswali magumu sana...
maana hapa ni either mamluki au marketing department ya Rwanda inadanganya na mapicha yao wanayoyajaza humu JF..

mi nashauri zaidi ya hapo Tanzania iseme kuwa haitakuwa tayari kuchukua wakimbizi wowote wale toka Rwanda tena. Safari hii wakishatifuana watafute pa kwenda. Kwa sababu kuna kila dalili huu mgogoro ukaanzisha guerilla warfare ndani ya rwanda. Sasa hivi tu kama kuna mtu anasoma daily news ataona kuna ongezeko kubwa la "wanyarwanda" waliosoma alama za nyakati wanaomba uraia kwa fujo.
 
..na mapigano yataongozwa na kikosi cha FIB chini ya uongozi wa Brig.Gen.Abdulrahman Kimweri wa JWTZ.

..wembe uliomnyoa m23/RDF ndiyo huohuo utaokawanyoa FDLR. MUNGU awalinde askari wa Tanzania, na washirika wao.

cc lawmaina78, jMali, mchambawima1, simplemind
 
Last edited by a moderator:
..kuna watu wameshabamizwa tayari.

..operation "kamilisha usalama II" inaendelea ikishirikisha FIB[jwtz], na FARDC.

..kuna magaidi wanalia na kusaga meno tayari.
 
..na mapigano yataongozwa na kikosi cha FIB chini ya uongozi wa Brig.Gen.Abdulrahman Kimweri wa JWTZ.

..wembe uliomnyoa m23/RDF ndiyo huohuo utaokawanyoa FDLR. MUNGU awalinde askari wa Tanzania, na washirika wao.

cc lawmaina78, jMali, mchambawima1, simplemind

Sasa mbona ghafla mumewageuzia FDLR kibao na kwa jinsi mlikua mnawakingia kifua, hehehe!! haya mabrigadia JWTZ kazi kwenu piga mbwa hawa majinosaida. CC: jMali JokaKuu
 
Last edited by a moderator:
This is not as conventional as most of us would like to think.
 
Hasa wakiwatoa wanapelekwa wapi ikiwa kwao kuna utata wa wao kupokelewa
 
JK alilikoroga kweli sasa he has to eat a humble pie.
 
Sio kweli.Maamuzi kuhusu nini kifanyike kuhusu FDLR yanasubiri maamuzi ya mkutano ulioitishwa na Jacob Zuma wa Afrika YA KUSINI utakaofanyika baada ya wiki mbili toka sasa kujadili hilo suala ambao utafuatiwa na mkutano mwingine wa nchi za maziwa makuu.
Hayataanza hadi maamuzi ya hiyo mikutano miwili.
 
I disagree, subiri utasikia.
 
Nondo za Kagame kwa JK.....He further noted that talk of
negotiations with FDLR was “evidence
of those who have the luxury of
speaking but suffer no consequences.”
 
He forgot that we managed to have that luxury not because the so-called "consequences" were not meant to be instilled on us, but because we are smarter, more civilized, united and strong.
 
Back
Top Bottom