Fatma Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 492
- 180
habari wana jf namba msaada jinsi ya kuondoa monitoring software kwa njia rahisi
Start,add or remove then futa instruction
habari wana jf namba msaada jinsi ya kuondoa monitoring software kwa njia rahisi
asante kwa ushauri nilitaka kumpija mtu chenga ya mwili halafu nimtoke kwa kumpija kanzu lakini bahatiyake mpira umekwisha^^ what are you on about? haha Fatma Bawazir, unaongelea software zinazofungua kwenye internet labda kazini na zina fungia network sites and/or downloads , sio? kuna jinsi tofauti za kuzizunguka, lakini kama ni sehemu ya ofisini sikushauri uje jaribu as most of these softwares zinakuwa zina track network inavyotumika. then ukumbuke kuwa kila computer ina MAC Address ambayo ni ya kuitofuatisha kwenye matandao. nachojaribu kusema ni kwamba ukiweza kuzunguka monitoring software iliyopo IT technician aliyepo kwenye server atanote and also kwa kutumia MAC Address atajua which computer inatumika kuzunga ban, ergo you'll get into trouble regards, leh
ktk pc ya windows 7naam Fatma Bawazir unataka kujua namna ya kuondoa software monitoring katika kifaa gani?
ktk pc ya windows 7
hauwezi kui unistall kawaida?
file zake nyingi zinakuwa zimejificha ndio nilitaka jinsi ya kuziona mana ktk add/remove hazionekani
Unaifahamu jina la hiyo monitoring software?
asante kwa ushauri nilitaka kumpija mtu chenga ya mwili halafu nimtoke kwa kumpija kanzu lakini bahatiyake mpira umekwisha
^^ what are you on about? haha
Fatma Bawazir, unaongelea software zinazofungua kwenye internet labda kazini na zina fungia network sites and/or downloads , sio? kuna jinsi tofauti za kuzizunguka, lakini kama ni sehemu ya ofisini sikushauri uje jaribu as most of these softwares zinakuwa zina track network inavyotumika. then ukumbuke kuwa kila computer ina MAC Address ambayo ni ya kuitofuatisha kwenye matandao. nachojaribu kusema ni kwamba ukiweza kuzunguka monitoring software iliyopo IT technician aliyepo kwenye server atanote and also kwa kutumia MAC Address atajua which computer inatumika kuzunga ban, ergo you'll get into trouble
regards, leh
About removing monitoring toool,hahhahaa,.sa we vipi hata mtu mzima alianza kwa kutambaa we unanicheka?!haja bwana kheri yako ITchian
never mindmkuu mbona sijakucheka? nilifurahi tu thats all. sina tabia ya kumcheka mtu, niwie radhi kama nimekukosea