Monitor inachelewa kuwaka

bullar

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
9,454
20,800
Monitor yangu imekua na tabia ya kuchelewa kuwaka baada ya ku switch on inachukua zaid ya dakika 10 ku display aina ya monitor ni Fujitsu Siemens. ..msaada wadau
 
mie si mtaalam subiri waje
ila kiukweli imenichukua dakika tano kuondoka kwenye hii thread usiniulize nilikuwa naangalia nin
 
Monitor yangu imekua na tabia ya kuchelewa kuwaka baada ya ku switch on inachukua zaid ya dakika 10 ku display aina ya monitor ni Fujitsu Siemens. ..msaada wadau
angalia electrolytic capacitors zilizo vimba kwenye power supply zibadilishe zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom