Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 966
- 840
Mambo Vipi wadau!
Leo nimepata kuikumbuka ile nyimbo ya Monica aliyo imba moja kati ya manguli wa Muziki hapa nyumbani Maestro King Kikii ila cha ajabu nmejaribu kuitafuta nyimbo hiyo humu mtandaoni na Nimeikosa. Tafadhal kwa yeyote mwenye nayo ani-PM ntampatia namba yangu then atanitumia whatsapp, au kama una useful link ambayo naweza kuipata hiyo nyimbo tafadhali nipatie.