habari za kufungua kesi chadema zinaungwa mkono hivi:wakifungua ccm nongwa!wanachadema wa jf kiboko!!
Chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
Chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge
na stella ibengwe, shinyanga
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) mkoani shinyanga kimefungua kesi katika mahakama kuu kanda ya tabora, kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge yaliyofanyika oktoba 31 mwaka huu ambayo yalimpa ushindi steven masele wa chama cha mapinduzi (ccm) kuwa mbunge wa jimbo la shinyanga mjini katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Katibu wa chadema mkoani hapa, shilungushela nyangaki, jana aliwaambia waandishi wa habari kuwa kesi hiyo ya nambari 5 ya mwaka 2010 ilifunguliwa novemba 29 katika mahakama hiyo, kupinga ushindi wa aliyekuwa mgombea wa ccm ambaye kwa sasa ni mbunge.
Katika kesi hiyo wanaoshitakiwa ni mkurugenzi wa uchaguzi wa jimbo hilo festo kangombe, mwanasheria wa serikali pamoja na masele aliyekuwa akigombea nafasi hiyo kabla ya kuchaguliwa kuongoza jimbo hilo.
Habari zaidi zinaeleza kuwa kesi hiyo inatarajiwa kuanza kutajwa kwa mara ya kwanza katika mahakama kuu ya kanda ya tabora desemba 20 mwaka huu kwa kuhusisha washitakiwa wote wa watatu.
Shilungushela alisema mawakili watakaomtetea aliyekuwa mgombea wa chadema shelembi katika kesi hiyo ni mabere marando na tundu lisu, ambao ni wanasheria wa chama hicho na mawakili wa kujitegemea.
Hatua ya chadema kwenda mahakamani imetokana na kutoridhishwa na mwenendo mzima wa zoezi la uchaguzi ambao ulisababisha vurugu hadi ukumbi wa manispaa ya shinyanga kuchomwa moto na masanduku yote ya kura kuteketea huku polisi wakilazimika kufyatua mabomu ya machozi kuwasambaza waandamanaji.
Vurugu hizo zilitokea muda mfupi baada ya msimamizi mkuu wa uchaguzi wa jimbo hilo kang'ombe ambaye ni mkurugenzi wa manispaa ya shinyanga kutangaza matokeo yaliyompa ushindi masele.
Kesi hiyo itakuwa ni ya pili kufunguliwa na chadema dhidi ya wagombea wa ccm katika jimbo la shinyanga tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya ile ya mwaka 1995 ya kupinga matokeo ya mbunge wa ccm leornad derefa aliyembwaga mgombea wa chadema, bob nyanga makani, ambapo ccm ilishinda kesi hiyo katika mahakama ya rufaa.
I am a public policy analyst based in arusha, tanzania
reply reply with quote thanks
the following user says thank you to rutashubanyuma for this useful post:
Tukutuku (yesterday)
yesterday 09:45 am #2
newdawntz
senior member
join date
mon nov 2010
location
my home
posts
192
thanks
22
thanked 37 times in 28 postsrep power
21
did you find this post helpful? |
re: Chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
Originally posted by rutashubanyuma
chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge
na stella ibengwe, shinyanga
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) mkoani shinyanga kimefungua kesi katika mahakama kuu kanda ya tabora, kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge yaliyofanyika oktoba 31 mwaka huu ambayo yalimpa ushindi steven masele wa chama cha mapinduzi (ccm) kuwa mbunge wa jimbo la shinyanga mjini katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Katibu wa chadema mkoani hapa, shilungushela nyangaki, jana aliwaambia waandishi wa habari kuwa kesi hiyo ya nambari 5 ya mwaka 2010 ilifunguliwa novemba 29 katika mahakama hiyo, kupinga ushindi wa aliyekuwa mgombea wa ccm ambaye kwa sasa ni mbunge.
Katika kesi hiyo wanaoshitakiwa ni mkurugenzi wa uchaguzi wa jimbo hilo festo kangombe, mwanasheria wa serikali pamoja na masele aliyekuwa akigombea nafasi hiyo kabla ya kuchaguliwa kuongoza jimbo hilo.
Habari zaidi zinaeleza kuwa kesi hiyo inatarajiwa kuanza kutajwa kwa mara ya kwanza katika mahakama kuu ya kanda ya tabora desemba 20 mwaka huu kwa kuhusisha washitakiwa wote wa watatu.
Shilungushela alisema mawakili watakaomtetea aliyekuwa mgombea wa chadema shelembi katika kesi hiyo ni mabere marando na tundu lisu, ambao ni wanasheria wa chama hicho na mawakili wa kujitegemea.
Hatua ya chadema kwenda mahakamani imetokana na kutoridhishwa na mwenendo mzima wa zoezi la uchaguzi ambao ulisababisha vurugu hadi ukumbi wa manispaa ya shinyanga kuchomwa moto na masanduku yote ya kura kuteketea huku polisi wakilazimika kufyatua mabomu ya machozi kuwasambaza waandamanaji.
Vurugu hizo zilitokea muda mfupi baada ya msimamizi mkuu wa uchaguzi wa jimbo hilo kang'ombe ambaye ni mkurugenzi wa manispaa ya shinyanga kutangaza matokeo yaliyompa ushindi masele.
Kesi hiyo itakuwa ni ya pili kufunguliwa na chadema dhidi ya wagombea wa ccm katika jimbo la shinyanga tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya ile ya mwaka 1995 ya kupinga matokeo ya mbunge wa ccm leornad derefa aliyembwaga mgombea wa chadema, bob nyanga makani, ambapo ccm ilishinda kesi hiyo katika mahakama ya rufaa.
If the way it was reported by media is how it was, then chadema has all the right to do so. Hope the justice will find its way back. Go chadema
political courage is not political suicide. A.schwarzenegger
kuku kuku, jogoo jina....
Reply reply with quote thanks yesterday 12:14 pm #3
narubongo
member
join date
wed nov 2010
posts
45
thanks
1
thanked 16 times in 6 postsrep power
0
did you find this post helpful? |
re: Chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
Moto wa marando na tundu... Patachimbika
reply reply with quote thanks yesterday 12:23 pm #4
tukutuku
jf senior expert member
join date
tue sep 2010
location
german-nazist
posts
988
thanks
156
thanked 97 times in 77 postsrep power
22
did you find this post helpful? |
re: Chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
Safi sana haki lazima itafutwe na itapatikana tu!
Reply reply with quote thanks yesterday 12:27 pm #5
njowepo
jf premium member
join date
tue feb 2008
location
santiago
posts
2,979
thanks
168
thanked 428 times in 301 postsrep power
28
did you find this post helpful? |
re: Chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
Alafu ni kwa nini kufungua kesi iwe 20mil
"the jaws of power are always open to devour, and her arm is always stretched out, if possible, to destroy the freedom of thinking, speaking, and writing."
john adams