Elections 2010 Monica mbega apinga mahakamani ubunge wa mch. Msigwa

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,906
3,249
MBUNGE wa zamani wa jimbo la Iringa mjini na mkuu wa mkoa wa KIlimanjaro ambaye alikuwa mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Monica Mbega amefungua kesi namba 3 ya mwaka 2010 katika mahakama kuu kanda ya Iringa akipinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea mbunge wa chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema) mchungaji Peter Msigwa.

Katibu wa CCM wilaya ya Iringa mjini Charles Charles alithibitisha mbele ya waandishi wa habari leo ofisini kwake kuhusiana na Mbega kwenda mahakamani kupinga ushindi wa mchungaji Msigwa wa Chadema kwamadai ya kuwepo kwa kasoro zaidi ya 10 zilizopata kujitokeza siku ya uchagua mkuu octoba 31 ikiwemo ya vituo vya kupigia kura kuhamishwa dakika za mwisho na kufanya baadhi ya wapiga kura kutopiga kura.

Kasoro nyingine ni ile ya tofauti ya matoke yaliyotangazwa na msimamizi wa uchaguzi jimbo la Iringa mjini ambayo kwa mujibu wa Mbega kuwa yalionyesha kutofautiana kwa kura kama 800 na sehemu ila matokeo ya pili yaliyotangzwa bila kuwepo kwa wakala wala mgombea wa CCM yanaonyesha mgombea huyo wa CCM alipitwa kwa kura zaidi ya 2000 na mgombea wa Chadema.

Hivyo alisema kuwa kutokana na kasoro hizo na nyingine nyingi mgombea huyo wa CCM Mbega amelazimika kwenda mahakamani kupinga matokeo hayo ya uchaguzi mkuu .

Charles alisema kuwa matokeo ya kwanza ya ubunge yaliyotangazwa na msimamizi wa uchaguzi yalionyesha mgombea wa NCCR-mageuzi Mariam Mwakingwe alikuwa amepata kura 950 na Monica Mbega (CCM) alikuwa amepata kura 16,916 huku mchungaji Msigwa akipata kura 17742 na kuwa matokeo hayo yalitangazwa huku mawakala wa CCM wakiwepo na kupokea hivyo.

Japo baadaye msimamizi wa uchaguzi alitangaza matokeo mapya ambayo mgombea wa CCM wala wakala wake hakuwepo ambapo matokeo hayo Msigwa yalimpa ushindi mkubwa Msigwa kwa kupata kura 17,352 wakati Mgombea waNCCR Mageuzi Mwakingwe akipata kura 1292 .

Hivyo alisema kuwa ukitazama matokeo hayo unapata picha halisi ni jinsi gani ambavyo msimamizi wa uchaguzi alivyoshindwa kutoa matokeo sahihi ya jimbo hilo na kuwa hadi sasa mgombea wa CCM hajapata nakala ya matokeo hayo mapya ambayo ndiyo yamempeleka Msigwa bungeni.

Pia alisema kuwa kasoro nyingine ni ile ya idadi ya wapiga kura katika baadhi ya vituo kuonekana kubwa zaidi ya wale waliojiandikisha na sehemu nyingi idadi ya waliopiga kura na wasio piga kura ukijumlisha unakuta kuna tofauti kubwa ya kura kuzidi.

Hata hivyo alishindwa kutaja wakili anayesimamia kesi hiyo kwa madai kuwa atajulikana pindi kesi hiyo itakapoanzwa kusikilizwa pamoja na kujua idadi ya halisi ya kasoro zilizotolewa na Mbega ambaye hakuweza kupatikana kuelezea suala hilo.

Kwa upande wake Mchungaji Msigwa alipoulizwa kuhusiana na madai hayo ya Mbega kwenda Mahakamani kupinga ushindi wake alisema kuwa hata yeye amekuwa akisikia kuwepo kwa suala hilo japo hadi jana alikuwa hajapatakufikishiwa taarifa yoyote rasmi toka mahakamani juu ya kuwepo kwa kesi hiyo.

"Mimi mwenyewe nimekuwa nikisikia kama Mbega amekwenda mahakamani kupinga ushindi wangu ila mimi sijapata taarifa rasmi za kuitwa mahakamani japo ni haki yake ya msingi kwenda mahakamani"alisema Mbunge Msigwa alipoulizwa kwa njia ya simu na mwandishi wa habari hizi.
 
so what is your point ?? kupitwa kwa kura 800 au 2 kote ni kushindwa. kwahiyo umeshindwa kwa kura 800 na siyo 2000 how does that change the results ??. vituo vimeamishwa bahadhi ya watu wameshindwa kupiga kura that must have affected both parties since you don't know who those people would have voted for ??. i really don't see your point maybe you have some other munitions on a side.
 
atakoma, na asiwe anakwenda mahakamani kwa kutumia gari la serikali, toka kilimanjaro hadi iringa ni mbali na ajilipie garama, na muda asiokuwepo ofisini kwa issues za kesi akatwe mshahara, kwani hayo ni mambo binafsi zaidi
 
hiyo inaitwa nipotee vipi na si nitoke vipi,
atafifia tu na vitapelekwa hadi vithibitisho vya wizi wa kitaifa wa kula
uliofanywa na ccm yake kwa nini hataki kukubari kushindwa?
 
Wanatekeleza agizo la mzee wao wa mipasho Yusuf Makamba kwamba kila mgombea wa ccm aliyeshindwa kwenye uchaguzi akafungue kesi mahakamani!!!!!
 
Ni haki yake kwenda mahakamani na huko ndiko haki hutolewa na siyo kupendelewa kama anavyofikiria
 
Hapa mama Mbega anajaribu kuosha sura tu. Tatizo kubwa ni CCM kupoteza jimbo kwa kumbeba yeye ilhali habebeki. Pengine kesi hii itasaidia kujenga hoja ya kuwa na chombo thabiti na utaratibu makini wa kusimamia uchaguzi kuliko sarakasi zinazoendelezwa na hiyo tume dhaifu ya Jaji Makame & co. Hoja za kumpa ushindi hazipo labda kama anapigania uchaguzi urudiwe ili apate nafasi ya yeye na chama chake kuchakachua matokeo kiuhakika zaidi.
 
Habari za kufungua kesi Chadema zinaungwa mkono hivi:wakifungua CCM Nongwa!Wanachadema wa JF kiboko!!

CHADEMA yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
CHADEMA yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge

na Stella Ibengwe, Shinyanga

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Shinyanga kimefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge yaliyofanyika Oktoba 31 mwaka huu ambayo yalimpa ushindi Steven Masele wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Katibu wa CHADEMA mkoani hapa, Shilungushela Nyangaki, jana aliwaambia waandishi wa habari kuwa kesi hiyo ya nambari 5 ya mwaka 2010 ilifunguliwa Novemba 29 katika mahakama hiyo, kupinga ushindi wa aliyekuwa mgombea wa CCM ambaye kwa sasa ni mbunge.
Katika kesi hiyo wanaoshitakiwa ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa jimbo hilo Festo Kangombe, Mwanasheria wa Serikali pamoja na Masele aliyekuwa akigombea nafasi hiyo kabla ya kuchaguliwa kuongoza jimbo hilo.
Habari zaidi zinaeleza kuwa kesi hiyo inatarajiwa kuanza kutajwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama Kuu ya Kanda ya Tabora Desemba 20 mwaka huu kwa kuhusisha washitakiwa wote wa watatu.
Shilungushela alisema mawakili watakaomtetea aliyekuwa mgombea wa CHADEMA Shelembi katika kesi hiyo ni Mabere Marando na Tundu Lisu, ambao ni wanasheria wa chama hicho na mawakili wa kujitegemea.
Hatua ya CHADEMA kwenda mahakamani imetokana na kutoridhishwa na mwenendo mzima wa zoezi la uchaguzi ambao ulisababisha vurugu hadi Ukumbi wa Manispaa ya Shinyanga kuchomwa moto na masanduku yote ya kura kuteketea huku polisi wakilazimika kufyatua mabomu ya machozi kuwasambaza waandamanaji.
Vurugu hizo zilitokea muda mfupi baada ya Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa jimbo hilo Kang'ombe ambaye ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga kutangaza matokeo yaliyompa ushindi Masele.
Kesi hiyo itakuwa ni ya pili kufunguliwa na CHADEMA dhidi ya wagombea wa CCM katika Jimbo la Shinyanga tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya ile ya mwaka 1995 ya kupinga matokeo ya mbunge wa CCM Leornad Derefa aliyembwaga mgombea wa CHADEMA, Bob Nyanga Makani, ambapo CCM ilishinda kesi hiyo katika Mahakama ya Rufaa.
I am a public policy analyst based in Arusha, Tanzania
Reply Reply With Quote Thanks
The Following User Says Thank You to Rutashubanyuma For This Useful Post:
TUKUTUKU (Yesterday)
Yesterday 09:45 AM #2
NewDawnTz
Senior Member

Join Date
Mon Nov 2010
Location
My Home
Posts
192
Thanks
22
Thanked 37 Times in 28 PostsRep Power
21

Did you find this post helpful? |
Re: CHADEMA yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
Originally Posted by Rutashubanyuma
CHADEMA yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge

na Stella Ibengwe, Shinyanga
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Shinyanga kimefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge yaliyofanyika Oktoba 31 mwaka huu ambayo yalimpa ushindi Steven Masele wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Katibu wa CHADEMA mkoani hapa, Shilungushela Nyangaki, jana aliwaambia waandishi wa habari kuwa kesi hiyo ya nambari 5 ya mwaka 2010 ilifunguliwa Novemba 29 katika mahakama hiyo, kupinga ushindi wa aliyekuwa mgombea wa CCM ambaye kwa sasa ni mbunge.
Katika kesi hiyo wanaoshitakiwa ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa jimbo hilo Festo Kangombe, Mwanasheria wa Serikali pamoja na Masele aliyekuwa akigombea nafasi hiyo kabla ya kuchaguliwa kuongoza jimbo hilo.
Habari zaidi zinaeleza kuwa kesi hiyo inatarajiwa kuanza kutajwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama Kuu ya Kanda ya Tabora Desemba 20 mwaka huu kwa kuhusisha washitakiwa wote wa watatu.
Shilungushela alisema mawakili watakaomtetea aliyekuwa mgombea wa CHADEMA Shelembi katika kesi hiyo ni Mabere Marando na Tundu Lisu, ambao ni wanasheria wa chama hicho na mawakili wa kujitegemea.
Hatua ya CHADEMA kwenda mahakamani imetokana na kutoridhishwa na mwenendo mzima wa zoezi la uchaguzi ambao ulisababisha vurugu hadi Ukumbi wa Manispaa ya Shinyanga kuchomwa moto na masanduku yote ya kura kuteketea huku polisi wakilazimika kufyatua mabomu ya machozi kuwasambaza waandamanaji.
Vurugu hizo zilitokea muda mfupi baada ya Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa jimbo hilo Kang'ombe ambaye ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga kutangaza matokeo yaliyompa ushindi Masele.
Kesi hiyo itakuwa ni ya pili kufunguliwa na CHADEMA dhidi ya wagombea wa CCM katika Jimbo la Shinyanga tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya ile ya mwaka 1995 ya kupinga matokeo ya mbunge wa CCM Leornad Derefa aliyembwaga mgombea wa CHADEMA, Bob Nyanga Makani, ambapo CCM ilishinda kesi hiyo katika Mahakama ya Rufaa.

If the way it was reported by Media is how it was, then CHADEMA has all the right to do so. Hope the justice will find its way back. GO CHADEMA
Political courage is not political suicide. A.Schwarzenegger
Kuku kuku, jogoo jina....
Reply Reply With Quote Thanks Yesterday 12:14 PM #3
Narubongo
Member

Join Date
Wed Nov 2010
Posts
45
Thanks
1
Thanked 16 Times in 6 PostsRep Power
0

Did you find this post helpful? |
Re: CHADEMA yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
moto wa marando na tundu... patachimbika
Reply Reply With Quote Thanks Yesterday 12:23 PM #4
TUKUTUKU
JF Senior Expert Member

Join Date
Tue Sep 2010
Location
GERMAN-NAZIST
Posts
988
Thanks
156
Thanked 97 Times in 77 PostsRep Power
22

Did you find this post helpful? |
Re: CHADEMA yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
Safi sana haki lazima itafutwe na itapatikana tu!
Reply Reply With Quote Thanks Yesterday 12:27 PM #5
Njowepo
JF Premium Member

Join Date
Tue Feb 2008
Location
Santiago
Posts
2,979
Thanks
168
Thanked 428 Times in 301 PostsRep Power
28

Did you find this post helpful? |
Re: CHADEMA yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
AlAFU NI KWA NINI KUFUNGUA KESI IWE 20MIL
"The jaws of power are always open to devour, and her arm is always stretched out, if possible, to destroy the freedom of thinking, speaking, and writing."
John Adams
 
habari za kufungua kesi chadema zinaungwa mkono hivi:wakifungua ccm nongwa!wanachadema wa jf kiboko!!

Chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
Chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge

na stella ibengwe, shinyanga

chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) mkoani shinyanga kimefungua kesi katika mahakama kuu kanda ya tabora, kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge yaliyofanyika oktoba 31 mwaka huu ambayo yalimpa ushindi steven masele wa chama cha mapinduzi (ccm) kuwa mbunge wa jimbo la shinyanga mjini katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Katibu wa chadema mkoani hapa, shilungushela nyangaki, jana aliwaambia waandishi wa habari kuwa kesi hiyo ya nambari 5 ya mwaka 2010 ilifunguliwa novemba 29 katika mahakama hiyo, kupinga ushindi wa aliyekuwa mgombea wa ccm ambaye kwa sasa ni mbunge.
Katika kesi hiyo wanaoshitakiwa ni mkurugenzi wa uchaguzi wa jimbo hilo festo kangombe, mwanasheria wa serikali pamoja na masele aliyekuwa akigombea nafasi hiyo kabla ya kuchaguliwa kuongoza jimbo hilo.
Habari zaidi zinaeleza kuwa kesi hiyo inatarajiwa kuanza kutajwa kwa mara ya kwanza katika mahakama kuu ya kanda ya tabora desemba 20 mwaka huu kwa kuhusisha washitakiwa wote wa watatu.
Shilungushela alisema mawakili watakaomtetea aliyekuwa mgombea wa chadema shelembi katika kesi hiyo ni mabere marando na tundu lisu, ambao ni wanasheria wa chama hicho na mawakili wa kujitegemea.
Hatua ya chadema kwenda mahakamani imetokana na kutoridhishwa na mwenendo mzima wa zoezi la uchaguzi ambao ulisababisha vurugu hadi ukumbi wa manispaa ya shinyanga kuchomwa moto na masanduku yote ya kura kuteketea huku polisi wakilazimika kufyatua mabomu ya machozi kuwasambaza waandamanaji.
Vurugu hizo zilitokea muda mfupi baada ya msimamizi mkuu wa uchaguzi wa jimbo hilo kang'ombe ambaye ni mkurugenzi wa manispaa ya shinyanga kutangaza matokeo yaliyompa ushindi masele.
Kesi hiyo itakuwa ni ya pili kufunguliwa na chadema dhidi ya wagombea wa ccm katika jimbo la shinyanga tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya ile ya mwaka 1995 ya kupinga matokeo ya mbunge wa ccm leornad derefa aliyembwaga mgombea wa chadema, bob nyanga makani, ambapo ccm ilishinda kesi hiyo katika mahakama ya rufaa.
I am a public policy analyst based in arusha, tanzania
reply reply with quote thanks
the following user says thank you to rutashubanyuma for this useful post:
Tukutuku (yesterday)
yesterday 09:45 am #2
newdawntz
senior member

join date
mon nov 2010
location
my home
posts
192
thanks
22
thanked 37 times in 28 postsrep power
21

did you find this post helpful? |
re: Chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
Originally posted by rutashubanyuma
chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge

na stella ibengwe, shinyanga
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) mkoani shinyanga kimefungua kesi katika mahakama kuu kanda ya tabora, kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge yaliyofanyika oktoba 31 mwaka huu ambayo yalimpa ushindi steven masele wa chama cha mapinduzi (ccm) kuwa mbunge wa jimbo la shinyanga mjini katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Katibu wa chadema mkoani hapa, shilungushela nyangaki, jana aliwaambia waandishi wa habari kuwa kesi hiyo ya nambari 5 ya mwaka 2010 ilifunguliwa novemba 29 katika mahakama hiyo, kupinga ushindi wa aliyekuwa mgombea wa ccm ambaye kwa sasa ni mbunge.
Katika kesi hiyo wanaoshitakiwa ni mkurugenzi wa uchaguzi wa jimbo hilo festo kangombe, mwanasheria wa serikali pamoja na masele aliyekuwa akigombea nafasi hiyo kabla ya kuchaguliwa kuongoza jimbo hilo.
Habari zaidi zinaeleza kuwa kesi hiyo inatarajiwa kuanza kutajwa kwa mara ya kwanza katika mahakama kuu ya kanda ya tabora desemba 20 mwaka huu kwa kuhusisha washitakiwa wote wa watatu.
Shilungushela alisema mawakili watakaomtetea aliyekuwa mgombea wa chadema shelembi katika kesi hiyo ni mabere marando na tundu lisu, ambao ni wanasheria wa chama hicho na mawakili wa kujitegemea.
Hatua ya chadema kwenda mahakamani imetokana na kutoridhishwa na mwenendo mzima wa zoezi la uchaguzi ambao ulisababisha vurugu hadi ukumbi wa manispaa ya shinyanga kuchomwa moto na masanduku yote ya kura kuteketea huku polisi wakilazimika kufyatua mabomu ya machozi kuwasambaza waandamanaji.
Vurugu hizo zilitokea muda mfupi baada ya msimamizi mkuu wa uchaguzi wa jimbo hilo kang'ombe ambaye ni mkurugenzi wa manispaa ya shinyanga kutangaza matokeo yaliyompa ushindi masele.
Kesi hiyo itakuwa ni ya pili kufunguliwa na chadema dhidi ya wagombea wa ccm katika jimbo la shinyanga tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya ile ya mwaka 1995 ya kupinga matokeo ya mbunge wa ccm leornad derefa aliyembwaga mgombea wa chadema, bob nyanga makani, ambapo ccm ilishinda kesi hiyo katika mahakama ya rufaa.

If the way it was reported by media is how it was, then chadema has all the right to do so. Hope the justice will find its way back. Go chadema
political courage is not political suicide. A.schwarzenegger
kuku kuku, jogoo jina....
Reply reply with quote thanks yesterday 12:14 pm #3
narubongo
member

join date
wed nov 2010
posts
45
thanks
1
thanked 16 times in 6 postsrep power
0

did you find this post helpful? |
re: Chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
Moto wa marando na tundu... Patachimbika
reply reply with quote thanks yesterday 12:23 pm #4
tukutuku
jf senior expert member

join date
tue sep 2010
location
german-nazist
posts
988
thanks
156
thanked 97 times in 77 postsrep power
22

did you find this post helpful? |
re: Chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
Safi sana haki lazima itafutwe na itapatikana tu!
Reply reply with quote thanks yesterday 12:27 pm #5
njowepo
jf premium member

join date
tue feb 2008
location
santiago
posts
2,979
thanks
168
thanked 428 times in 301 postsrep power
28

did you find this post helpful? |
re: Chadema yafungua kesi kupinga matokeo ya ubunge...........................
Alafu ni kwa nini kufungua kesi iwe 20mil
"the jaws of power are always open to devour, and her arm is always stretched out, if possible, to destroy the freedom of thinking, speaking, and writing."
john adams

issue siyo nongwa issue ni je ukisoma matokeo anayolalamikia bado anakubali kushindwa. Maana matokeo anayosema yalitangazwa au anayokubali bado ameshindwa maana huko shy mbunge kashinda kwa kura moja.
 
Kunya anye kuku akinya bata uharo.huyu mama si ndo yule alifurai kumchakachua mwakalebela?hakujua malipo ya uchakachuaji ni hapahapa?pole na aibu zake.
 
Jamani hoja hapo si kushindwa kwa kura 800 wala 2000, hiyo kasoro ninavyoona anataka uchaguzi urudiwe, kwa mtazamo wangu kama anataka uchaguzi urudiwe namshauri asubili vyuo kama MKWAWA, LUCO na TUMAIN vifungwe ndo uchaguzi urudiwe,otherwise atafunikwa vibaya sana manake vyuoni ndiko kumejaa vijana ambao hawaeleweki eleweki.
 
Kuna watu humu duniani ni ma-hopeless kweli.

Mwingine naskia amepinga ushindi wa Ndesamburo.

Hivi kuna kitu unaweza ukaambiwa na Yusufu Makamba ukatilia maanani?

Hawa watu wanadhalilisha mahakama.
 
"A dying horse kicks hard!!!" Huyo ni mfa maji tu!!! Anatafuta kujiabisha zaidi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom