Tutu kalundji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 532
- 1,287
Koboko au black mamba na hatari zake zote unazozijua huwa akikutana na huyu mwehu lazima atubu.Na siyo kuuliwa tu bali Koboko ni miongoni mwa vyakula vya Mongoose!
Umeipata hiyo mwanawane.
Umeipata hiyo mwanawane.