Moneystunna& badieybey

CORNATH

Senior Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
131
Reaction score
31
Jamani kwanza kabisa mnisamehe kama nimekosea spelling za hayo majina, pili kuuliza si ujinga, niliwahi kusoma humu mahusiano ya badieybey na moneystunna hadi kufikia hatua ya kutambulishana, swali langu.

Je! Hawa watu bado wanaendelea na mahusiano au mahusiano ya humu huwa hayadumu.

Ni hayo tu,nahitaji majibu mazuri siyo ya karaha,na ingekua vizuri kama na wenyewe wangekuja kuthibitisha.
 
i think zilikuwa mbwembwe tu within jf .zidhani kama kuna kilicho endekea nje ya hapo.kwa member wa jf wanaofanyana kweli, huwa hawatangazi jf.mambo yao huwa kimya kimya.

BTW hivi yale mapenzi moto moto ya bibie lara one na ndg Matola yaliishia wapi?.
 
Last edited by a moderator:
i think zirikuwa mbwembwe tu within jf .zidhani kama kuna kilicho endekea nje ya hapo.wanaofanyana kweli huwa hawatangazi jf.huwa kimya kimya.

BTW hivi yale mapenzi moto moto ya bibie lara one na ndg Matola yaliishia wapi?.

hawa wote waigizaji walikuwa wanatuektia tu
 
Last edited by a moderator:
badiebey mwenyewe kaadimika siku hizi
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana badiebey ananyonyesha, Money Stunna yuko busy kuhakikisha familia inakua na amani, wanalea familia yao saivi, watapata wapi mda wakuingia tena jf?? Nimewaza tu.....
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Ushawahi kuona wapi upepo unapakwa rangi...???
 
Na mie nimepata hamu ya kujua mtoto shombe shombe alioa ama?Wapi Dinazarde haukuitwa hata harusini?
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana badiebey ananyonyesha, Money Stunna yuko busy kuhakikisha familia inakua na amani, wanalea familia yao saivi, watapata wapi mda wakuingia tena jf?? Nimewaza tu.....

Yani shem mawazo yako yako mbali sana.By the way nimeishaandaa swali langu la hottalk na ole wako usilijibu utafiti
 
Last edited by a moderator:

nadhani unasubiria moshi mweupe ka uchaguzi wa papa.kama wewe ni me basi utakuwa unampenda badiebey na unasubiri akiachana tu na mwenzake we uingilie kati na kama ni ke basi unamzimikia moneystunna na unasubiri kama nilivyoeleza kwa badiebey,otherwise utakuwa mbea na mpenda udaku
 
Zilikua mbwembwe tu zile,,,,,, usiamini kila kitu cha jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…