Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,921
- 14,821
Pole wewePole sana
Kwa insta siwezi kukufollow aisee. Labda hiyo web nitakuwa napita kila tar 30 ya mweziNa followers NI wewe anti?? 😂😂😂😂
Utanikuta kunitia nuksi kama Yona kwenye Biblia Bora ukae huku huku
Hata huko usije mamaKwa insta siwezi kukufollow aisee. Labda hiyo web nitakuwa napita kila tar 30 ya mwezi
Mtakuja kufolow watu ambao sio 😂😂😂😂
UNAJIUZA SH NGAPI KWA USIKU MMOJAMe nashukuru leo kwakuniongezea wateja
Mods naona wamelala Ila fresh tu
Mpaka It wangu anashangaa trafficking ya leo
Mungu Akubariki Kwa kunipiga teke, naona umeniongezea mwendo WA safari
Hivi hili neno maana yake nini?
Yea, you have poured it fully. 😅I know right?! 🏃🏃🏃🏃
Toa ile miwani inatisha followers ndiyo maana hawaku-likeHata huko usije mama
Usiniletee nuksi za maisha bure wasomaji wakaondoka
MWANAMKE AKIFIKA MIAKA 40 HANA MUME HANA MTOTO WENGI WANAKUWA VICHAA MSAMEHENI HUYU BINTI WA MZEE LEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh kumbeKwa sisi tunavyoitumia ni term inatumika kum describe mwanamke mwenye umri 35+ au 40+ ambae ni attractive na anawatoto kadhaa...lakin anamvuto wa kukulwa na yeye yupo kwa ajili ya hilo pia
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeMimi leo naamini kabisaaa kuwa kichaa humu siko peke yangu..humu mwezi mchanga kibao..LOL..Money Penny..topic zako zina ukakasi kwa mfano hii ya leo..''topic zako zinapendwa na wanaume na sio wanawake JF''.. tayari ushajiweka class Fulani juu ya wanawake….sasa sijui unataka wachangie nini kama tayari ushaweka ' mazereu' alijisemea Bambino Zaidi ya matusi...mimi nakushauri uje vingine, tumia 'pseudo name' create a customer base and then ndio u reveal your true identity...ulimwengu huu sio wewe bali service unayotoa...ukitoa service nzuri watu watakuja tuu...nakushauri kuwa 'nyutro' lugha ya ukakasi au kuumiza achana nayo..na kama umeamua kuwa hii ndio kazi yako ya kukuingizia kipato then work on language unaweza kuchukua class masomo ya ziada kukupika uwe mwandishi mzuri..I believe you have potential just like anyone else humu..so work on it
acha ujinga.
Wanawake wameanza kuchambana!!
Na ugomvi wao furaha yetu maana naanza kuona tu chupi twao njenje..
Kuna mmoja nimeiona nyekundu ina ua katikati! Mwengine yakijani imeandikwa ccm mbele kwa mbele
Huyu mwengine ndo kiboko ina rangi nne na imeandikwa "mjini mipango"!!
Thank u
40?!MWANAMKE AKIFIKA MIAKA 40 HANA MUME HANA MTOTO WENGI WANAKUWA VICHAA MSAMEHENI HUYU BINTI WA MZEE LEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app