Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 900
"Be completely open about your finances with your spouse; you will avoid a lot of problems that way"
(Kuwa wazi kabisa kuhusu fedha zako kwa mwenza wako; utaepuka matatizo mengi kwa njia hiyo)
Hayo sio maneno yangu yameandikwa na Chris Hurt a columnist on sunday nation.
Ye great thinkers mnasema nini hapa.
Hahahaha junior mpaka akuzalie tayar keshakujua in and outMi nakubaliana nae coz mda mwingine mnajiponza
True, i think ni vizuri zaidi kabla hujaingia kwenye ndoa ujue kabisa financial position ya huyo mwenza wako
Inatakiwa liwe ni jambo la kuendelea na sio kabla ya ndoa kushare na kudiscuss mambo ya fedha pamoja, investment opportunities, vipaumbele vyenu katika maisha na pia kila shilingi imepatikana vipi.
Ofu kozi it matters, mapenzi hayalipi bills.
ofcoz ni lazma ujue chanzo cha mapato sio unaolewa na mtu hujui ana elimu gani, anafanyakazi gani au biashara gani, alimradi unamuona ana maisha mazuri unaingia tu kichwa kichwa aisee hapo majuto hayatakuwa mbali
NadhNi hujaelewa hoja ya mrusha mada hapo juu. Kujifanya mkweli wakati huna hela hujawa mkweli kaka. Huna hela sema sina hela, sio unakopa 20,000 kwa rafiki yako kwenda kutongozea demu, halafu unajisifu kwake kuwa unazo. Ndo nyie unadate na demu hotel kubwa, mwenyewe unaishia kunywa maji, na demu unamwambia ale anachotaka, eti ulishakula lunch wakti huo ni saa sita na nusu mchanasio mademu wa siku hizi, ukijifanya mkweli wakati huna hela utakufa na ulalu wako... wadanganye danganye kwanza, mpaka wajue we ni kapuku ushamzalisha ka wawil hivi!!!!