Money in marriage: Is it mine or ours?

Money in marriage: Is it mine or ours?

Mtoto anapoomba pesa always anaanza na baba ask yourself why ? na baba akisema sina akienda kwa mama anapewa unaanza kuona mtoto anaanza kuwa na dharau kwa baba.Ni heri uwe single kuliko kuleta matatizo Kwenye jamii.Harusi kubwaa baada ya hapo mnapanga one bedroom that is nonsense and rubbish
 
sasa nyumba ndogo nitamuhonga nini?

Unajua wanawake sisi tunajiingizaga Kwenye majanga kweli kweli yaani mwanaume mwache awe mwanaume .Mwanaume hatongozwi ukimtongoza tuuu,wewe utaishia kulea,Wanaume Wanapenda na akili na mwanaume Hawezi kuwa na mtu asiyempenda .Ukipenda relax utafurahia maisha Haya mambo ya kutafuta pesa ooh mwanaume wangu anione smart alishakuona smart akakuoa .Juulize kwa nini cheating husband wana cheat na wanawake waswahili zero education na wanapokaa Huko mabondeni .Hao wanawake wa nje wanawanyenyekea wanawapikia kuwaogesha na kuwabembeleza wewe mke wake kutwaa unasaka pesa na pesa hiyo inaishia nje ya ndoa .maneno ya uswahili oh mwanamke kuchakalika ,oh mwanamke shoka ,oh mwanamke anabidii.Sifa zitawaponza .Wanaume Wa kiafrika wako Kama SIMBA usimgeuza SIMBA kuwa kuku utaishia kumlisha
 
kumbe nawe unajua hilo...ebu wapashe wenzio bana
 
::
OURS ni rahisi kutamka na kuiandika hapa LAKINI wanawake wengi wanapenda yake aitumie yeye na ya mume ndo inapewa ubatizo wa OURS

Ha ha ha ha ha,Naunga Mkono Hoja yako Mkuu!! Ndivyo wanawake wengi walivyo!!
 
Back
Top Bottom