Money Heist 4 ipo Netflix

Ni nzuri hii series?

Nipo Season ya 1 episode 5 sijui kwanini bado haijanikamata naiangalia kiuvivu sana.
usije ukakata tamaa maana utakosa uhondo, mimi pia nilianza kama wewe sina hata interest ya kuangalia, icho kipindi nimeachika kwa baby nina bonge la depression ila mbaya ila hii series iliniteka na kunisahaulisha kila kitu ni bonge moja la picha na linanoga unapozidi kusogea mbele.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nzuri hii series?

Nipo Season ya 1 episode 5 sijui kwanini bado haijanikamata naiangalia kiuvivu sana.
Nzuri dear .ungekua karibu ningeamza kuingalia tena na wewe
 
Ahh Nairobi.
Ready to see my girl again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…