Pesa kwanza mapenzi yanafuata, ingekuwa mapenzi bora kuliko pesa mabaharia wasingekaa baharini kwa miezi from one country to another kutafuta pesa, wangekaa na wapenzi wao kuundekeza mapenzi tu.
Mvuto ndiyo utakujaza mimba? Mtakula mshibe mvuto?
Luku mtajaza mita kwa mvuto?
Mtaweka airtime simu zenu kwa mvuto wa kuipenda kampuni ya Voda?
Shem mvuto tupa kuleee!
Ukibisha utakua una asili ya Keigii .