Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Mkuu mimi tayari nishapigwa sindano ya ganzi kwa maccm maana hayakubali kushindwa.....
.....HUKU TUNASUBIRI JOGOO LIWIKE
Mkuu mimi tayari nishapigwa sindano ya ganzi kwa maccm maana hayakubali kushindwa.....
.....HUKU TUNASUBIRI JOGOO LIWIKE
Poleni kwa kuliangalia hilo dudeTunaoangalia TBC tunaona picha za Chama kimoja tu watu nyoomi lakini Chama kingibe anaonyeshwa Kiongozi anapoongea na si watu waliohudhuria.