Monduli: Msafara wa Mbowe wavamiwa na Morani, wapagawa kumuona

Habari ndio kama hivyo ndugu zangu , kwa ujumla Chadema imekwisha shinda Monduli kwa kishindo , tunachosubiri ni kujua ni ushindi wa Asilimia Tisini na ngapi .

Mimi bado sijaamini maaana nasikia hi vikosi vimeshushwa vya kutosha
 
Tunaoangalia TBC tunaona picha za Chama kimoja tu watu nyoomi lakini Chama kingibe anaonyeshwa Kiongozi anapoongea na si watu waliohudhuria.
 
Back
Top Bottom